Baada ya matokeo ya jana 2-0 dhidi ya al masry ambayo ni sawa na kmc au coastal union,ni dhairi kama wangecheza na yanga wangekutana na kiama/kipigo kitakatifu.
Kama ni karata basi mangungu na walace karia walilamba dume kuikimbia yanga
Sema tu jana simba ilicheza mpira usio na malengo. Wale Waarabu ni mayai tu, ila eti walishinda! Kuanzia physique simba walikuwa fit! Ball possession, nk! Ila chakushangaza walipoteza kwa goli 2 bila!
Akina Mpanzu walikuwa wanakimbia kimbia tu muda wote! Ateba amekosa nafasi nyingi za wazi! Camara hakuwa fiti kwa 100%! Lakini alianzishwa!