Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
- Thread starter
- #21
Tatizo la kutojua hesabu ndilo linakufanya uchague la saba wawili watatu waliofanikiwa, kisha ugeneralize kuwa hesabu za la saba zinatosha kumfanya mtu afanikiwe.hesabu ya kuhesabu pesa inatosha, hata king musukuma wa la saba anajua kuhesabu pesa, yanini mnawafokea madogo walo feli hesabu ya form four wakati ya la saba inawatosha?
wewe nakujua kote mahesabu, unamzidi king musukuma, Rostam Aziz au bakhresa kuhesabu pesa? kama huna pesa zaidi yao huo utalaamu wako wa mahesabu unakusaidia nini kama sio pambio tuu?