Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete na CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda.

Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono.

Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete mwenyewe anashangaa CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea.
 
Sirikali ya Idd Amin Mama imefanya jambo la ajabu la kuua watu ovyo.

Nawaambia tu ukweli ,watu waende makaburi ya Bahari Beach Kondo aiseee wamezika miili takribani 300 kwa pamoja ,vyombo vya uchunguzi viende pale vitaona ,hawa jamaa hawakwepi ICC.

Hiyo ni true story ,walifanya hilo tukio usiku wa saa saba mpaka saa nane usiku wakiwa na malori manne yaliyojaa miili ,walio karibu na hapo waende tu wataona traces za kijiko cha kuchimbia..inasikitisha sana kuua watu wengi kiasi hicho kisa tu MADARAKA ambayo hayadumu ni ya kupita tu.
 
Mmmh
 
Utu wa mtanzania kwa sasa hauna thamani kabisa. Watu wanazikwa kama dagaa waliochina?
Hizo maiti watazifukua . Sio kila polisi yuko upande wa wauaji. Kuna wengi tu watatoa habari za huu unyama.
 
Sirikali ya Idd Amin Mama imefanya jambo la ajabu la kuua watu ovyo.

Nawaambia tu ukweli ,watu waende makaburi ya Bahari Beach Kondo aiseee wamezika miili takribani 300 kwa pamoja ,vyombo vya uchunguzi viende pale vitaona ,hawa jamaa hawakwepi ICC.

Hiyo ni true story ,walifanya hilo tukio usiku wa saa saba mpaka saa nane usiku wakiwa na malori manne yaliyojaa miili ,walio karibu na hapo waende tu wataona traces za kijiko cha kuchimbia..inasikitisha sana kuua watu wengi kiasi hicho kisa tu MADARAKA ambayo hayadumu ni ya kupita tu.
...
 
Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda.

Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono.

Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete mwenyewe anashangaa CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea.
Ngoja nipite kimya kimya nisome comments za wadau wanazungumziaje huyo Mzee wa Msoga juu ya ulichokiandika then ntarudi kukomment siku nchi ikishakombolewa!
 
Kikwete hakuwahi kufanya unyama kama huu, hata Ridhiwani pamoja na kuvuma sana na mambo yake ya dili za hapa na pale hakuwahi kujihusisha na mambo ya mauaji kama anayofanya Abdul , hatukuwahi kusikia eti Ridhiwani ameteka ameua, lakini angalia kilichoendelea kwa sasa
 
Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda.

Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono.

Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete mwenyewe anashangaa CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea.
Labda salma kikwete ndio anashangaa.

Kumbuka mauaji ya mwandishi Mwangosi na assassination attempt ya Sheikh Ponda kule Morogoro.
 
Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda.

Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono.

Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete mwenyewe anashangaa CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea.
Anaona aibu hata kujitokeza hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom