Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

Mungu amekukutanisha na Mke wa maisha. Sasa fanye uzembe tena. Maana wanaume wa siku hizi vichwa mnavijua wenyewe.
 
Mkono mtupu Aulambwi em weka kapicha kake tukupe credit mkuu
 
Anakuvutia pumzi akupeleke kwao baharini ukatambulishwe. AMINI
Kuwa makini majini watu Ni 15% kwa sasa
 
Ameleta togwa nyingine! Wamemvutia file lake la zamani!! Ambalo ana mke.
Huyu mwanamke ndio yule yule na Sheria za nchi zinasema ukishakuwa na mahusiano na mwanamke yanayofika mwaka huyo anakuwa mke wako bila kujali kwamba umeoa mwamba unakwama wapi?
 
Anakuvutia pumzi akupeleke kwao baharini ukatambulishwe. AMINI
Kuwa makini majini watu Ni 15% kwa sasa
Mzee baba nimeishi nae imepita mwaka sasa hivi hivyo vitu unavyozungumza havipo jini ajifichi utamjua tu kwa vitendo
 
Hapana mimi ni mwanaume hasa
Sawa mkuu uwe na imani mzee huyo mwanamke nimeshapanga kumuoa nimeona anastahili siwezi kufanya mambo tofauti na hapo ananithamini, ananiheshimu na ana upendo wa kweli na pia smart kichwani ana sifa zote ninazohitaji kwa mwanamke wa kuoa
 
Kuna wadau wamechimbua kaburi kule nyuma imeonekana ulishaoa. Kuna ukweli wowote au tuache tu kama stori?
 
Kuna wadau wamechimbua kaburi kule nyuma imeonekana ulishaoa. Kuna ukweli wowote au tuache tu kama stori?
Huyo mwanamke ndio huyu huyu nilioandika kwenye Huu uzi mimi namwita mke wangu sio kwasababu nimeoa la hasha ni kwasababu ninaishi nae mwaka umeshapita na Sheria za nchi zinasema ukiishi na mwanamke yoyote ndani ya mwaka mmoja kisheria huyo anakuwa mke wako sasa huyo mdau nazani kakurupuka ajasoma vizuri uzi
 
Unaishi na jini
 
hongera ndgu, ila kukaa miez sita bila kula mbususu duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…