Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

Si kwamba Ke hawataki ndoa, la hasha! nao ni wahitaji sana wa ndoa, basi kuwa makini asijekuwa kaficha makucha tu ilimradi apate pa kuolewa.
 
Vaeni ndom wakuu

Kuna STI na ukimwi

Peku ina laana zake
 
Hongera mkuu, hiyo mbususu imekuelewa bila unafiki, we endelea kula mashibagayose.
 
Mpime, mwambie aje na rafiki yake uwapige threesome uone kama hajakuletea.
 
Si kwamba Ke hawataki ndoa, la hasha! nao ni wahitaji sana wa ndoa, basi kuwa makini asijekuwa kaficha makucha tu ilimradi apate pa kuolewa.
Imepita mwaka mzee naishi nae unawezaje kwa huo muda kuficha makucha na hapo naaishi nae kama mke na Mume sio kwamba ni mahusiano ya kukutanakukutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…