Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

😂😂😂umetongoza leo kesho yake ukapewa mzigo,, eeeh kwakweli shetani akizeeka huwa malaika hongera yako kumpata shetani mzee
 
😂😂😂umetongoza leo kesho yake ukapewa mzigo,, eeeh kwakweli shetani akizeeka huwa malaika hongera yako kumpata shetani mzee
Ebu futa hiyo kauli ya shetani mzee
 
Simple sana, huyo demu kwao wamemshindwa, hana kwa kwenda, hata ghetto alilokupeleka kuna aslimia kubwa sio kwake, huyo demu amekuzid ujanja sana, na hapo kwako amepata sehemu ya uhakika ya kula na kulala. Usije ukajiroga kumuanzishia biashara au kumpa mtaji.
 
Mbona mnamtazamo wa negativity Sana huyo demu anafanya kazi ni muajiriwa wa Serikalini
 
Mkuu natumaini bado unaendelea kula Mema ya Nchi hii....

Ukiona badiliko lolote usisite kutujulisha Wajumbe na kama kuna lolote utahitaji tukushauri tuko pamoja...

Stay Taliban,, Enjoy Love
 
Bandiko lako ni batili yaan umetag wote umemwacha mzabzab
 
Mkuu natumaini bado unaendelea kula Mema ya Nchi hii....

Ukiona badiliko lolote usisite kutujulisha kama kuna lolote utahitaji tukushauri...

Stay Taliban,, Enjoy the Love
Daah
 
😂😂😂umetongoza leo kesho yake ukapewa mzigo,, eeeh kwakweli shetani akizeeka huwa malaika hongera yako kumpata shetani mzee
Shetani kijana/mdogo angetoa mzigo baada ya siku ngapi tangu alipotongozwa?.
 
Mwanamke pisi kasi alafu wew ndo unampenda Zaidi ya yeye anavyokupendaa... Ukioaa lazima udateee yangi ukiteleza tu kidogo utasikia Tuachanee
 
Mikishaanza kuingiza Imani zenu ndio linaanza tatizo.

Mimi nikipata mwanamke mwenye viwango vya kuwa mke mwema na mama Bora wa familia nitabadili hio dini nimfuate

I don't care mambo ya dini.

Siku hizi watu hawaaminiki kabisa haijalishi ana swali au anasali wapi.

Ikishindikana nitabaki kama nilivyo.
 
Dini ni imani yako wewe binafsi kwa maana ya nafsi yako na Mungu wako, vinginevyo ni sawa na vikundi tu vya kuchangisha watu kwa kuwashawishi wachangie kwa hiyari yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo ujasiri wa kiwango Cha dunia vipi kuhusu familia yako hapa namaanisha Wazazi wako na ndugu zako au hawa wewe huwafikirii kwenye hayo maamuzi yako unadhani watakubali mtoto wao habadilishe dini kirahisi rahisi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…