H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 Sep 19, 2022 Thread starter #141 Kapeace said: 😂😂😂umetongoza leo kesho yake ukapewa mzigo,, eeeh kwakweli shetani akizeeka huwa malaika hongera yako kumpata shetani mzee Click to expand... Hata ukakupa baada ya wiki au mwezi haibadilishi chochote
Kapeace said: 😂😂😂umetongoza leo kesho yake ukapewa mzigo,, eeeh kwakweli shetani akizeeka huwa malaika hongera yako kumpata shetani mzee Click to expand... Hata ukakupa baada ya wiki au mwezi haibadilishi chochote
JBourne59 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 946 Reaction score 8,640 Sep 19, 2022 #142 Badili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"
Badili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 Sep 19, 2022 Thread starter #143 JBourne59 said: Badili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida" Click to expand... JBourne59 said: Badili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida" Click to expand... Wewe ulikuwa dini gani? Maana nimeshindwa kusoma kisa chako maana ni kirefu mno
JBourne59 said: Badili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida" Click to expand... JBourne59 said: Badili dini kisha oa kabisa kama nilivyofanya mimi Fuatilia kisa changu Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida" Click to expand... Wewe ulikuwa dini gani? Maana nimeshindwa kusoma kisa chako maana ni kirefu mno
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Sep 19, 2022 #144 Any updates??? Bila shaka ushaweka hilo jiko ndaniiii
JBourne59 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 946 Reaction score 8,640 Sep 19, 2022 #145 Hziyech22 said: Wewe ulikuwa dini gani? Maana nimeshindwa kusoma kisa chako maana ni kirefu mno Click to expand... Nilikuta wazazi wangu wanasalia Kanisani Roman Catholic Ukipata muda soma kidogo kidogo, kuna mengi ya kujifunza, kumbukizi na burudani.
Hziyech22 said: Wewe ulikuwa dini gani? Maana nimeshindwa kusoma kisa chako maana ni kirefu mno Click to expand... Nilikuta wazazi wangu wanasalia Kanisani Roman Catholic Ukipata muda soma kidogo kidogo, kuna mengi ya kujifunza, kumbukizi na burudani.
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 Sep 19, 2022 Thread starter #146 Antonnia said: Any updates??? Bila shaka ushaweka hilo jiko ndaniiii Click to expand... Hapana tuliachana kwa sababu hizi hizi za kidini hasa upande wa wazazi wake hawakupenda waliwahi kuja kaka yake pale akafanya fujo hatari na nikapewa vitisho
Antonnia said: Any updates??? Bila shaka ushaweka hilo jiko ndaniiii Click to expand... Hapana tuliachana kwa sababu hizi hizi za kidini hasa upande wa wazazi wake hawakupenda waliwahi kuja kaka yake pale akafanya fujo hatari na nikapewa vitisho