Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha yao kwa kutimua mbio ughaibuni,
#swala la msingi tujiulize je hawa watimua mbio wanatustahili?, kuwaachia chama?.
Napata sana mashaka!
#swala la msingi tujiulize je hawa watimua mbio wanatustahili?, kuwaachia chama?.
Napata sana mashaka!