We judge through/according to records!
.. records from Lumumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We judge through/according to records!
Hiyo busara imekifikisha wapi chama?Kiukweli mimi si miongoni mwenu. Niko free ground. Ila kama si chuki binafsi utakubaliana nami kwamba katika uwezo wa kujenga hoja na kuongea kwa hekima na busara hakuna kama Mbowe
Kiukweli mimi Simo
Mbona hata huyo Sultan alikimbilia Dubai. Hoja hiyo ni dhaifu haina mashiko. Tunachojua Sultan ameshajisalimisha kwa CCM kumchagua yeye ni kuifanya Chadema kuwa kitengo cha CCM cha kupoza mageuzi ya kweli.Alipigwa risasi akapona akaja kugombea 2020, akakimbia!...
Huyu pia naye ni tumbili aliuedandia mti wa Canada!, baada ya kuona 🌟 majenerali wakabaki silence wanausoma mchezo, renegade!LEMA AWAPIGA MASWALI MAZITO WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CHADEMA SAKATA LA RUSHWA
Godbless Lema, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini atoa ujumbe mzito kwenda kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuhusu sakata la rushwa katika uchaguzi wa chama hicho taifa utakaofanyika Januari 21, 2025.
"Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili , ikiwa utapewa pesa, usafiri, pombe na chakula wkt huu lakini ukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa, Kijiji na Vitongoji, je hizo pesa sasa zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa kazi isiyo hata na mshahara ? CHADEMA sio duka wala Bar . Wajumbe sikilizeni , hiki CHAMA kina damu za rafiki zenu , maumivu makubwa na mateso kwa watu wengi, msilaani maisha yenu kwa starehe na rushwa. Sasa basi wakileta pesa kula , kunywa halafu waadhibu ktk boksi la kura. Nyie sio Blue Band wakubebwa kama Maboksi. Upinzani ni tabia njema na sio rangi za nguo. Msiue matumaini ya Taifa kwa kushindwa kutofautisha tabia zetu na @ccm_tanzania" - Godbless Lema, Aliyekuwa Mwenyekiti wa @ChademaTz wa Kanda ya Kaskazini.
Kiukweli mimi si miongoni mwenu. Niko free ground.
Ila kama si chuki binafsi utakubaliana nami kwamba katika uwezo wa kujenga hoja na kuongea kwa hekima na busara hakuna kama Mbowe
Kiukweli mimi Simo
Mama kawaachia wapumue ndio maana unaona kila mtu anaona ni rahisi anataka UenyekitiWenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha yao kwa kutimua mbio ughaibuni,
#swala la msingi tujiulize je hawa watimua mbio wanatustahili?, kuwaachia chama?.
Napata sana mashaka!
Mpeni mtu heshima yake. Chama akivuruge Magufuli halafu lawama aachiwe Mbowe? Hivi kwa nini watu wakishaingiza ushabiki kwenye mambo wanakuwa tayari kusema shetani ni bora kuliko Yesu?Hiyo busara imekifikisha wapi chama?
Kwa sasa kinaelekea kaburini kama juhudi za maksudi za kukiokoa kwa kuleta fikra mpya hazitafanyika.
Tunajua alipokitoa chama na alipokifikisha.. Anastahili maua yake lakini sasa ni wakati wa kupumzika na kubaki kama mshauri wa chamaWenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha yao kwa kutimua mbio ughaibuni,
#swala la msingi tujiulize je hawa watimua mbio wanatustahili?, kuwaachia chama?.
Napata sana mashaka!
Hata kujenga hoja Lissu hana uwezo wa Mbowe hata nusu. Atabaki kutupotezea muda tu kwa kurudia rudia manenoSasa pilipili usizozila zikuwasheje?
Wenye chama tangia tulipogundua we are in for a ride, haya yalikuwa maneno yetu:
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Jinasibu kuona ulikuwa Uzi wa lini.
Kama mnampenda mshaurini mjenga hoja wenu atokee kwenye mdahalo.
Bila shaka hata wewe na yeye mnajua na hapa uko kwenye kujitosa kimaso maso.
Looh!
I won't lie, chadema na ccm, ni kama simba na yanga, tofauti ni kwamba hakuna siku ambayo chadema itashika dola kwa siku za karibuni labda huko mbeleni, na kitakachofanyika ni ccm wenyewe wataamua hivyo!,Mbona hata huyo Sultan alikimbilia Dubai. Hoja hiyo ni dhaifu haina mashiko. Tunachojua Sultan ameshajisalimisha kwa CCM kumchagua yeye ni kuifanya Chadema kuwa kitengo cha CCM cha kupoza mageuzi ya kweli.
Hata kujenga hoja Lissu hana uwezo wa Mbowe hata nusu. Atabaki kutupotezea muda tu kwa kurudia rudia maneno
Kwanza jiulize watu wenye akili timamu na marafiki kila kona kwa nini wakimbie? Waliochelewa kukimbia wamepoteza maisha na leo mnajifanya kuwasikitikia na kivilalamikia vyombo vya usalama, hawa waliokimbia wapo hai kulitetea taifa, je ulitaka na wao wapoteze maisha ili abakie Mwamba peke yake?Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha yao kwa kutimua mbio ughaibuni,
#swala la msingi tujiulize je hawa watimua mbio wanatustahili?, kuwaachia chama?.
Napata sana mashaka!
leteni fast tumalize kazi ndrugu zango tuendelea na mengineyo 🐒Mshtuko wa moyo siyo attribute kwa makamanda wapambanaji. Labda hawa:
View attachment 3198288
Kwamba wakale polisi siyo?
Action speak than words.Unaonaje ungetuwekea hoja Moja yako au ya mwamba bora kabisa utuwekee hapa ili tujiridhishe?
Au vipi kumshauri huyo mwamba atokee kwenye mdahalo tujiridhishe?
Haipo shaka mmekamatwa pabaya:
View attachment 3198293
Na Bado!
Action speak than words.
Hoja mojawapo ni kuwafanya wengi waipende Chadema ukiwemo wewe . Ukikataa basi utakuwa ni mtoto asiye na shukurani hata kwa wazazi wako.
Ni sawa na kusema mzazi wako kukulea si hoja ya msingi
Asingekanyaga TanzaniaWengine walipigwa risasi 16 maanake wali lenga kuwaua ila bado wakabaki na msimamo ule ule, afadhali mbowe yeye aliomba apate likizo ya mda mrefu, angekua amepigwa lisasi siange staafu kabisa muoga yule anapenda soft politics.