Kwa mazungumzo ya Jana ya mbowe clouds TV, mbowe amegeuza upepo, ushindi kwake ni dhahiri

Wanachama wamemuelewa sana.
Lisu asubiri tu hadi 2030
 
Kiukweli mimi si miongoni mwenu. Niko free ground. Ila kama si chuki binafsi utakubaliana nami kwamba katika uwezo wa kujenga hoja na kuongea kwa hekima na busara hakuna kama Mbowe

Kiukweli mimi Simo
Hiyo busara imekifikisha wapi chama?
Kwa sasa kinaelekea kaburini kama juhudi za maksudi za kukiokoa kwa kuleta fikra mpya hazitafanyika.
 
Alipigwa risasi akapona akaja kugombea 2020, akakimbia!...
Mbona hata huyo Sultan alikimbilia Dubai. Hoja hiyo ni dhaifu haina mashiko. Tunachojua Sultan ameshajisalimisha kwa CCM kumchagua yeye ni kuifanya Chadema kuwa kitengo cha CCM cha kupoza mageuzi ya kweli.
 
Huyu pia naye ni tumbili aliuedandia mti wa Canada!, baada ya kuona 🌟 majenerali wakabaki silence wanausoma mchezo, renegade!
 
Huyo Makengeza akishinda atapata wakati mgumu sana kuwaaminisha Watanzania waendelee kuiunga mkono Chadema!

Wao si wanawadhihaki Watanzania wanaotoa maoni Yao mitandaoni wanasema "Si wapiga kura?",yaani atakuwa amewarahishia kazi CCM ya kuwabagaza!

Leo si wanawadharau Watanzania na kusema wanaotoa maoni Yao mitandaoni si wapiga kura?,Muda utazungumza
 
In fact wa kike wote wote walisema AKA BABU WE KIPI CHA KUJIFIA HAPA ABAKI HUYO HUYO NA LICHAMA LAKE
 
Kiukweli mimi si miongoni mwenu. Niko free ground.

Sasa pilipili usizozila zikuwasheje?

Wenye chama tangia tulipogundua we are in for a ride, haya yalikuwa maneno yetu:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Jinasibu kuona ulikuwa Uzi wa lini.

Ila kama si chuki binafsi utakubaliana nami kwamba katika uwezo wa kujenga hoja na kuongea kwa hekima na busara hakuna kama Mbowe

Kiukweli mimi Simo

Kama mnampenda mshaurini mjenga hoja wenu atokee kwenye mdahalo.

Bila shaka hata wewe na yeye mnajua na hapa uko kwenye kujitosa kimaso maso.

Looh!
 
Mama kawaachia wapumue ndio maana unaona kila mtu anaona ni rahisi anataka Uenyekiti

Heche mpk anamtukana Mbowe
Kipindi cha Magu hakuna aliethubutu
 
Hiyo busara imekifikisha wapi chama?
Kwa sasa kinaelekea kaburini kama juhudi za maksudi za kukiokoa kwa kuleta fikra mpya hazitafanyika.
Mpeni mtu heshima yake. Chama akivuruge Magufuli halafu lawama aachiwe Mbowe? Hivi kwa nini watu wakishaingiza ushabiki kwenye mambo wanakuwa tayari kusema shetani ni bora kuliko Yesu?
Lissu mnaemtegemea baada ya uchaguzi wa 2020 alikimbilia ubalozini badala ya kuwa front line ila leo mnamuona kwamba ni shujaa?

Ashukuriwe Mbowe aliyejitoa kwa hali na mali kujenga taasisi imara ambayo pamoja na kupitia misukosuko yote ya kipindi cha Magufuli ambapo wanasiasa wa Chadema kwa maelfu walinunuliwa na shughuli za kisiasa zikauiliwa ila bado Chadema iliyojengwa kwa misingi imara imeendelea ku survive.
 
Tunajua alipokitoa chama na alipokifikisha.. Anastahili maua yake lakini sasa ni wakati wa kupumzika na kubaki kama mshauri wa chama
 
Hata kujenga hoja Lissu hana uwezo wa Mbowe hata nusu. Atabaki kutupotezea muda tu kwa kurudia rudia maneno
 
Mbona hata huyo Sultan alikimbilia Dubai. Hoja hiyo ni dhaifu haina mashiko. Tunachojua Sultan ameshajisalimisha kwa CCM kumchagua yeye ni kuifanya Chadema kuwa kitengo cha CCM cha kupoza mageuzi ya kweli.
I won't lie, chadema na ccm, ni kama simba na yanga, tofauti ni kwamba hakuna siku ambayo chadema itashika dola kwa siku za karibuni labda huko mbeleni, na kitakachofanyika ni ccm wenyewe wataamua hivyo!,
 
Hata kujenga hoja Lissu hana uwezo wa Mbowe hata nusu. Atabaki kutupotezea muda tu kwa kurudia rudia maneno

Unaonaje ungetuwekea hoja Moja yako au ya mwamba bora kabisa utuwekee hapa ili tujiridhishe?

Au vipi kumshauri huyo mwamba atokee kwenye mdahalo tujiridhishe?

Haipo shaka mmekamatwa pabaya:

Your browser is not able to display this video.


Na Bado!
 
Kwanza jiulize watu wenye akili timamu na marafiki kila kona kwa nini wakimbie? Waliochelewa kukimbia wamepoteza maisha na leo mnajifanya kuwasikitikia na kivilalamikia vyombo vya usalama, hawa waliokimbia wapo hai kulitetea taifa, je ulitaka na wao wapoteze maisha ili abakie Mwamba peke yake?
 
Unaonaje ungetuwekea hoja Moja yako au ya mwamba bora kabisa utuwekee hapa ili tujiridhishe?

Au vipi kumshauri huyo mwamba atokee kwenye mdahalo tujiridhishe?

Haipo shaka mmekamatwa pabaya:

View attachment 3198293

Na Bado!
Action speak than words.
Hoja mojawapo ni kuwafanya wengi waipende Chadema ukiwemo wewe . Ukikataa basi utakuwa ni mtoto asiye na shukurani hata kwa wazazi wako.

Ni sawa na kusema mzazi wako kukulea si hoja ya msingi
 
Action speak than words.
Hoja mojawapo ni kuwafanya wengi waipende Chadema ukiwemo wewe . Ukikataa basi utakuwa ni mtoto asiye na shukurani hata kwa wazazi wako.

Ni sawa na kusema mzazi wako kukulea si hoja ya msingi

Wacha maneno weka muziki:

"Mjenga hoja wako atatokea kwenye mdahalo kuthibitisha Hilo?"



Au akisikia mdahalo anakula kona vichakani?
 
Wengine walipigwa risasi 16 maanake wali lenga kuwaua ila bado wakabaki na msimamo ule ule, afadhali mbowe yeye aliomba apate likizo ya mda mrefu, angekua amepigwa lisasi siange staafu kabisa muoga yule anapenda soft politics.
Asingekanyaga Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…