Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Mungu katika vitabu vyake amesema haki huinua taifa
Hakika hii ni kweli Mungu amewatia upofu wanasiasa wasiione haki
amewatia upofu watunga Sheria wasiione haki
Amewatia upofu viongozi wa dini wasisimame kukemea uovu
Amelitia upofu taifa na kututia minyorororo tusione dhambi hizi akilini na rohoni
Pengine kusudio lake Ni jema na kubwa tunakaribia machweo ambapo kila mtu atamheshimu mwenzake na kuilinda sheria
Mwisho wa ukimya na unyonge u karibu
Mwanzo wa mwisho wa uonevu na mwanzo wa taifa kuinuliwa umefika
Ila mema hayatakuja bila gharama gharama ambayo kila mmoja atalipa kwa kadri yake
Mungu ibariki Afrika!!