Kumbuka Mungu hakuzuia majaribu ya yakobo Tena makubwa mpaka kufiwa na watoto wake na Ni Mungu huyohuyo aliyeruhusu shetani amjaribu yesu kwa kumshawishi ujinga na hatata Sasa ni Mungu yuleyule ameliacha taifa hili liende njia potofu ili baadae haki itamalaki Ni swala la muda tu mtaelewa kumbuka hata Kenya ilipitia haya baada ya kuvuka kipindi hicho cha mpito chenye gharama ndio wakapata katiba mpya Ni swala la muda !!Mkikosa mbinu mnakimbilia kwa Mungu , kaka huyo Mungu wako angekuwepo angezuia yote yasitokee , kwa vile hayupo ndio maana watu wanafanya mambo yao waliyoyapanga na yanaenda, wewe endelea kulia lia hapo
Huyo Mungu wako ni msanii , kama.ameacha njia potofu iendelee ,kaongee nae mmalizane huko , sio kutupigia sisi kelele wakati kumbe aliyaona na akaayaacha mwenyewe yatokeeKumbuka Mungu hakuzuia majaribu ya yakobo Tena makubwa mpaka kufiwa na watoto wake na Ni Mungu huyohuyo aliyeruhusu shetani amjaribu yesu kwa kumshawishi ujinga na hatata Sasa ni Mungu yuleyule ameliacha taifa hili liende njia potofu ili baadae haki itamalaki Ni swala la muda tu mtaelewa kumbuka hata Kenya ilipitia haya baada ya kuvuka kipindi hicho cha mpito chenye gharama ndio wakapata katiba mpya Ni swala la muda !!
Ni kweli maana kila mara wanasema eti 'tumtangilize Mumgu". Mara wanasema, "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu", wakati wana uhakika katika dhamira zao kuwa wao ni ibilisi katika maumbile ya wanadamu. Ni mawakala wa shetani. Wanaua watu, wanateka watu, wanatesa watu, wanabambikizia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Yote ni matendo ya shetani. Na kila mwenye Roho wa Mungu anajua wazi kuwa yeye ayatendaye hayo, kamwe hawezi kuwa na ushirika na Mungu wa Hekima, Mungu wa Upendo, Mungu wa Haki na Mungu wa Huruma.Hata Washenzi hutumia maandiko, kuhalalisha ushenzi wao.
Toa mfano tupime ukweli wa kauli yako.. Hoja bila mfano halisi ni sawa na porojoHata Washenzi hutumia maandiko, kuhalalisha ushenzi wao.
kusudi la Mungu ili yule kibaraka asepe maana Chadema hawakumjua undani wake, ila Mungu huona siriniCDM walipomwita EL lilikuwa kusudio la nani?
..hapo ndipo kwenye chimbuko la yote haya je wangapi wako tayali kusimamia haki bila kujali watapata maumivu au mateso kiasi gani ili nchi iheshimiwe na watawala! Tatizo wananchi tumekuwa waoga wanafiki ndio maana tunashangilia kuitwa wanyonge kama mazuzu matokeo yake ndio haya mnyonge huwa ajui kujitete kazoea kuonewaMungu hajatia upofu watu wake kikubwa nachoona ni hofu ya kumuogopa jamaa mmoja kwa sababu ya maamuvi yake hayana busara.
...makosa ya viongozi wa chadema kupokea lile kapi la ccm na genge lake ndio kiburi cha watawala kapeleka riport ya kazi alioagizwa...dr hakuwa pandikizi bali alikua mpenda mabadiliko wa kweli hakuwa anaongea kwa uoga kama mbowe leo hi kwa ujinga huu wa kuhalibu uchaguzi ingelikua wakati wa Dr slaa angetangaza maandamano nchi ingewaka Moto lakini kwasasa mbowe anatoa kauli kama vile anaogopa ogopa! Kwasasa chama kinaitaji watu kama lema ambao hawaogopi chochote ccm ni jeuri kwaiyo inatakiwa ipate upinzani wenye kisilani ili tuheshimianekusudi la Mungu ili yule kibaraka asepe maana Chadema hawakumjua undani wake, ila Mungu huona sirini
..dawa yao huwa ni ungangariCCM ni wagonjwa