Kwa mbali naliona kusudio la Mungu kututia upofu

Hawata kuelewa wako bize na kuhakikisha wanabaki madarakani kwa gharama yoyote
Ikiwa ndivyo basi ndio tunaingia ama tumo udiktetani...
Tuombe Mungu tusifikishwe huko...
Tuombe Mungu tusipate Mobutu wetu...
 
Michaelmakene,
Dakta "Miogo" uyu uyu?
Kama ana machungu na wananchi kwanini hajajitokeza hata kukemea? Ama haoni yanayoendelea?
 
mikedean,
Hakika Taifa hili linaingia katika Historia mbaya sana......

Watawala wetu wanajifanya hawaoni namna Taifa letu linavyonyemelea umwagaji mkubwa wa damu kwa ajili tu watawala wetu wamejaa kiburi cha madaraka na wameweka pamba masikioni
Kila siku naona unasema kuhusu umwagaji damu, hyo damu inamwagwa na nani??
 
Mkikosa mbinu mnakimbilia kwa Mungu , kaka huyo Mungu wako angekuwepo angezuia yote yasitokee , kwa vile hayupo ndio maana watu wanafanya mambo yao waliyoyapanga na yanaenda, wewe endelea kulia lia hapo
Angekuwa hayupo moshi wa kisulisuli wa mashangazi wa Ruangwa ungemgalagaza Jiwe akapotea duniani masaa kumi na saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…