Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

Wabunge wa michongo
 
Mtajuana wenyewe, mlimpigia kura wenyewe bila kulazimishwa, si mlisema mkibaki wenyewe bungeni mtapanga yenu na mtayapitisha, haya sasa tumewaachia bunge kuleni kwa urefu wa kamba zenu kama alivyoagiza mwenyekiti wenu
Usiwalaumu bure. Huyo hakushinda kwa kura
 
Anaitwa michael kembaki. Ni mweupe Sana kichwani hamna kitu anajivunia ni dharau na matusi tu wafanyakazi wake na kuwala mabinti ambao ni wafanyakazi wake
 
2020 hakukuwa na UCHAGUZI bali mchakato wa mtu mmoja (SHUJAA) kuwaweka awatakao kwenye nafasi za ubunge.
 
Wewe utakuwa ulimuomba kazi ya udereva alipokunyima ukaona uje JF ili upate msaada wa umbeya. Gari alilinunua yeye binafsi ili aliendeshe kwenda kwenye majukumu yake, sasa wewe hautaki aliendeshe! Kamroge yaishe.
 
Muacheni mbunge asee, wapinzan wametulewesha mnoo!!!
 
Wewe utakuwa ulimuomba kazi ya udereva alipokunyima ukaona uje JF ili upate msaada wa umbeya. Gari alilinunua yeye binafsi ili aliendeshe kwenda kwenye majukumu yake, sasa wewe hautaki aliendeshe! Kamroge yaishe.
Huyu nae mzazi kauza ngo'mbe kukupeleka shule? daa bas familiya yako inashida sana mtakuwa mnaiman za giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…