Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.

Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime.

Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani.

Hata ofisi yake ya mbunge haijulikani nani katibu wake.

Anadharau wapiga kura wake, wafanyakazi wake mpaka serikali maana yeye Hana dereva anajiendesha mwenyewe.

Mbaya Zaid anajioenyeza Serengeti akagombee huko baada ya kujua Tarime hapendeki
Wabunge wa michongo
 
Mtajuana wenyewe, mlimpigia kura wenyewe bila kulazimishwa, si mlisema mkibaki wenyewe bungeni mtapanga yenu na mtayapitisha, haya sasa tumewaachia bunge kuleni kwa urefu wa kamba zenu kama alivyoagiza mwenyekiti wenu
Usiwalaumu bure. Huyo hakushinda kwa kura
 
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.

Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime.

Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani.

Hata ofisi yake ya mbunge haijulikani nani katibu wake.

Anadharau wapiga kura wake, wafanyakazi wake mpaka serikali maana yeye Hana dereva anajiendesha mwenyewe.

Mbaya Zaid anajioenyeza Serengeti akagombee huko baada ya kujua Tarime hapendeki
Anaitwa michael kembaki. Ni mweupe Sana kichwani hamna kitu anajivunia ni dharau na matusi tu wafanyakazi wake na kuwala mabinti ambao ni wafanyakazi wake
 
2020 hakukuwa na UCHAGUZI bali mchakato wa mtu mmoja (SHUJAA) kuwaweka awatakao kwenye nafasi za ubunge.
 
Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake.

Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime.

Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani.

Hata ofisi yake ya mbunge haijulikani nani katibu wake.

Anadharau wapiga kura wake, wafanyakazi wake mpaka serikali maana yeye Hana dereva anajiendesha mwenyewe.

Mbaya Zaid anajioenyeza Serengeti akagombee huko baada ya kujua Tarime hapendeki
Wewe utakuwa ulimuomba kazi ya udereva alipokunyima ukaona uje JF ili upate msaada wa umbeya. Gari alilinunua yeye binafsi ili aliendeshe kwenda kwenye majukumu yake, sasa wewe hautaki aliendeshe! Kamroge yaishe.
 
Muacheni mbunge asee, wapinzan wametulewesha mnoo!!!
 
Wewe utakuwa ulimuomba kazi ya udereva alipokunyima ukaona uje JF ili upate msaada wa umbeya. Gari alilinunua yeye binafsi ili aliendeshe kwenda kwenye majukumu yake, sasa wewe hautaki aliendeshe! Kamroge yaishe.
Huyu nae mzazi kauza ngo'mbe kukupeleka shule? daa bas familiya yako inashida sana mtakuwa mnaiman za giza
 
Back
Top Bottom