Kwa mchepuko round nyingi kwa mke kimoja chali

Kwa mchepuko round nyingi kwa mke kimoja chali

Yah ni kweli umri umesogea. Niko early 40s. Ila inakuaje nje niende rounds za kutosha tu tena za kuunganisha na uzee wangu lakini ndani kimoko chaliii?
Ukweli ni kwamba hata huyo mchepuko nae ukikaa nae baada ya muda utamzoea utakua unapiga kimoja tu.

Binadamu hua tunakinai
 
Inawezekana pia mkeo kuna vitu kapunguza ama amebadilika so unakosa ile hamu ya kuendelea na tendo after hapo!!! Saa zingine wanawake hujichukulia poa akishakuwa ndani ya ndoa!!!
 
🤣ndio maana yake nina hofu hadi naskia baridi hadi natetemeka wakati nasubiri comment ngumu ngumu kutoka kwa wajuba mbalimbali humu jukwaani 🐒

R I P Laigwanan comrade ENL
Pole sana, ila ile mineno kuitoa hukutetemeka baba 😂😂😂
Sasa binti sayuni alikuomba umchanganyie nini?? Ujue bado natafakari jibu sipati 😜
 
Pole sana, ila ile mineno kuitoa hukutetemeka baba 😂😂😂
Sasa binti sayuni alikuomba umchanganyie nini?? Ujue bado natafakari jibu sipati 😜
unatafakari nini sasa apo we mtumishi 🐒

we badala utafakari na kutubu makosa ulotenda kipindi kilopita wakati huu muhimu sana wa kwaresma,

we endeleza kutatafakari mchanganyo ambao huo haukubaliki hata kidogo kipindi hichi muhimu sana cha kwaresma 🐒

mie nilitoa mfano tu wa ushuhuda wa baadhi ya wanandoa na michepuko wanayopitia....

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
unatafakari nini sasa apo we mtumishi 🐒

we badala utafakari na kutubu makosa ulotenda kipindi kilopita wakati huu muhimu sana wa kwaresma,

we endeleza kutatafakari mchanganyo ambao huo haukubaliki hata kidogo kipindi hichi muhimu sana cha kwaresma 🐒

mie nilitoa mfano tu wa ushuhuda wa baadhi ya wanandoa na michepuko wanayopitia....

R.I.P Laigwanan comrade
😂😂😂😂
 
Hilo naweza nikaamini maana nikitumia usafiri wa umma naona mambo mazuri ila nikirudi kwenye Private huku sielewi. Sa ingine mnara unasoma 2G mwanzo mwisho aka EDGE. Ila nikienda kwa majirani 5G na haipoi ni kitu juu ya kitu. Kuna wanawake wana majini mahaba haki vile.
Kweli mzee hii kitu ipo.

Why huku una underperforming wakati ukienda kule unakaza mzigo hadi mwenyewe unajikubali kwamba hapa Leo safi kazi nimeifanya.
 
Shida ni kuwa wanaume kwa wanawake tunaamini tukishakuwa mke na mume inabidi tuwe dull and boring as in hiyo ndo heshima ya ndoa.

Weeweeeew bana Fanyianeni tuvitu vitu huko ndani, sa mtu shuka halijabadilishwa wiki mbili, unafika hata humuandai, naye anapanda kitandani na kitendge Cha KTM bao zaidi utazitoa wapi?
La msingi

1. Badilisheni venue, muende hotels hata mara moja moja, au bedroom yenu ibadili hata uelekeo wa kitanda!!

2. Mkeo ajiweke kimalayamalaya( mnunulie vinguo vishenzi shenzi)
Akuvalie hata heels chumbani

3. Muandae kuliwa toka muda unaondoka kuelekea kazini mchana kutwa jitahidi kuflirt with her.

4. Kuwa mtundu na wewe sio unafika tu umemparamia. Cheza na mwili wake sio imekaa tu unasubiri kuchomekea uchomoe.

5. Mnunulie ka perfume unapenda apake mkiingia kitandani

6. Fanyianeni usafi wa mwili, massage, mnukie mpakane vya kunukia, uone kama hukumgonga bao za maana.

Sasa mmekaa tu na vitu vile vile boxer zile zile mindevu mizivu maji ya kuoga yaleyale kitanda hakivutii, chumba kina makorokoro kibao, kichwani Kuna mawazo una hofu kibao, upige bao 3 uzitoe wapi?
Hii ya venue nayo inawesa kuwa sababu.

Kuna manzi nilikuwa nae tukipasha geto ni so boring.

Nikimpeleka lodge show ya nguvu inapigwa.
 
Back
Top Bottom