Habarini wanajamvi.
Naomba mwenye tiba na shida yangu. Nikiwa na mke wangu sifikishi round 2. Hali hii inanitesa na nikajihisi ni mgonjwa wa nguvu za kiume. Hii ilinifanya nibakie njia kuu nikihofia nikichepuka tu nitachekwa na hali hii.
Zamani before ndoa nilikua wamoto yaani usiku mmoja tunakesha tunakesha kweli.
Jana siku ya maasi x wangu alinikumbuka nikaitika mwitikio na kwakua ananijua nje ndani sikuona sababu ya kuhofia hali yangu ya kimoko chali nitajitetea.
Nikaenda nae venue. Akasikitika sanaa kwa nini nilimsaliti nikaoa mwingine pia akaniambia hana hisia na mimi tena msaliti. Basi nikaomba sana mzigo mwishowe akanikubalia sharti ni mara moja tu.
Nikaitika sawa.
Akanipea doggie ATI hataki hata kuiona sura yangu nikido. Basi kwa Yale makalio yalivyomakubwa nikajisemea leo! Nikampampu vya kutosha tu mara haoo. Ajabu niliweza unganisha ili asijue kama nimekam. Thoo alikuja jua na tukaendelea vizuri tu nikafika 4 rounds that day.
Sasa najiuliza why kwa nyumba kimoko chali?
Katika maisha nimekuja kujifunza kwamba, ndoa ambazo watu wana michepuko hazijawahi kuisha salama, aidha mmojawapo ataleta magonjwa kwa mwenzie au watagawana tu magonjwa waliyo nayo. Ujifunze kwamba, una watoto, na inawezekana haujawajengea msingi wa maisha yawe mazuri pindi utakapoondoka duniani leo, hivyo usijilipue hata siku moja. mchepuko utaenda siku ya kwanza na ya pili ukiamini umejikinga, ila zinazoendelea utaambukizwa tu magonjwa, na wewe kwake yeye ni mchepuko/buzi hauko peke yako, hivyo angalia cycle yenu mpo wangapi pia. wanadamu huwa tunaamini tunatumia mipira kujikinga, tunaogopa kile kiuacho mwili, na kumdharau Mungu awezaye kuua mwili na roho pia katika moto wa milele, yeye anakuona tangu unatoka nyumbani hadi uanenda kwa mchepuko, anakuona ana anakuamuru uache dhambi, ukaitafute kweli yake na uifuate ili upone hukumu ya milele.
Waebrania 13:4 INASEMA,
Ndoa na Iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi, kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Tito 2:1 na kuendelea, amesema
Maana Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa, nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, tupate kuishi kwa kiasi na haki na utauwa katika ulimwengu huu wa sasa tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu.
Nakuasa, ishi ukijua kuwa, Mungu anakataza uasherati na uzinzi, utaishi maisha kama hayo hadi lini? kiburi hicho unakipata kuwa na michepuko kwasababu u mzima, unajua kama Mungu ndiye ameshikilia huo uzima wako unaoringia? unajua kuna watu wapo kitandani hata waletewe mwanamke hapa hawawezifanya chochote kwasababu wanaumwa ila wewe u mzima na unayafanya hayo? unafikiri Mungu hakuoni? unafikiri Mungu anapenda hayo ufanyayo? Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna, nakuombea kwa Mungu utambue hili, wapo watu sasaivi wanatamani wangepewa second chance kwa yale yaliyowakuta, ila ukurasa umefikia kikomo, mwogopeni Mungu.
Eeh Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo kwa Yesu Kristo Bwana wetu nisaidie, nikaishi maisha ya utauwa, maisha ya kukucha wewe Mungu kila siku, kila saa na kila dakika, kwasababu wewe ndiwe uzima wangu. Mungu nisaidie nikapate kuwa na kiasi (self-control), nikajilinde na mabaya, nisaidie Ee Mungu. Nisaidie nikakuogope wewe kuliko kuogopa magonjwa na kufumaniwa kwasababu wewe Mungu unaangalia moyo na haufuchwi na chochote na zaidi ya yote waasherati na wazinzi utawahukumia adhabu, niepushe na dhambi hizi Ee Bwana, wewe ndiwe uzima wangu, wewe ndiwe nguvu zangu, wewe ndiwe wokovu wangu, peke yangu mimi siwezi nahitaji msaada wako, na maisha yangu yapo mikononi mwako. Msaidie kila atakayesoma hapa Ee Bwana, Kwa Jina la Yesu Kristo, akatambue kwamba uasherati na uzinzi ni dhambi na wewe umeahidi kuwahukumu wote wayatendayo hayo, wewe umeweka njia ya uzima mbele yetu, tuifuate, wasaidie watu wako Bwana wakakuhofu wewe wakachague uzima badala ya mauti, kwasababu siku zote shetani huwawazia mabaya, hutamani awamalize, ila wewe Bwana ndiwe nguvu zetu, utukufu na heshima vina wewe milele na milele Ameni!