Kwa mchepuko round nyingi kwa mke kimoja chali

Nimejikuta nakumbuka tu law of marginal utility sijui kwa nini
Hahahahaha,

""Human wants cannot be satisfied""

Hahahahaha

Under ceteris peribus, for any good or service, the marginal utility of that good or service decreases as the quantity of the good increase

ume nikumbushaa
LAW OF DIMINISHING RETURNS
😊😊😊😊
 
Lamomy unashangaa nini?

Ninajivunia sana hii hali maana inaniepusha na mengi!
Nimecheka kwa sauti Sana mkuu!!

Hiyo hutokea kama wewe sio mchepukaji natural,yaani kama wewe ni mchepukaji situational hiyo hali utakutana nayo sana coz utakua unachagua sana was kuchepuka nao,coz any psychological interference kati yako na new mate ita alter impotence,yaani sensitivity ya Hali ya juu itakufanya hadi dick iwe selective Kwa mate!!
 
Ni jinsi hawa akinamama tuliowaoa wanavyojiweka.
 
Aisee. Ni ajabu na kweli mkuu!
 
Sababu kubwa ni kuwa Ngono ipo kichwani huku chini ni uwakilishi tu so kuna tofauti ya kimaandalizi kati ya mkeo na mchepuko I mean yaani kitendo cha kuplan na kukutana na mchepuko unajiset vizuri kuwa naenda kula mzigo hivyo mazingira ya nje na ya ndani ya mwili huwa yanajiset kujiandaa kufanya shughuli ile.
Wife ni mtu unaemzoea na hivi hatuna desturi ya kuhama venue na kucreat moment ili tukaunganishe vikojoleo hapo ubongo unajiset kumzoea na kumuona wa kawaida hata kama enzi zile ndo ulikuwa unamkubari kuliko nyau zako zote ndo maana ukaweka ndani.
Tofauti kubwa ipo kwenye kitu kinaitwa SCARCITY NA DEMAND
 
Hawakubali kwetu ila kwa michepuko yao wanakaa kwa raha zao. Akija ndani unamuuliza doggy yeye anasema kafanye na malaya wako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila wanandoa mna hekaheka sana
 
Katika maisha nimekuja kujifunza kwamba, ndoa ambazo watu wana michepuko hazijawahi kuisha salama, aidha mmojawapo ataleta magonjwa kwa mwenzie au watagawana tu magonjwa waliyo nayo. Ujifunze kwamba, una watoto, na inawezekana haujawajengea msingi wa maisha yawe mazuri pindi utakapoondoka duniani leo, hivyo usijilipue hata siku moja. mchepuko utaenda siku ya kwanza na ya pili ukiamini umejikinga, ila zinazoendelea utaambukizwa tu magonjwa, na wewe kwake yeye ni mchepuko/buzi hauko peke yako, hivyo angalia cycle yenu mpo wangapi pia. wanadamu huwa tunaamini tunatumia mipira kujikinga, tunaogopa kile kiuacho mwili, na kumdharau Mungu awezaye kuua mwili na roho pia katika moto wa milele, yeye anakuona tangu unatoka nyumbani hadi uanenda kwa mchepuko, anakuona ana anakuamuru uache dhambi, ukaitafute kweli yake na uifuate ili upone hukumu ya milele.

Waebrania 13:4 INASEMA, Ndoa na Iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi, kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

Tito 2:1 na kuendelea, amesema Maana Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa, nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, tupate kuishi kwa kiasi na haki na utauwa katika ulimwengu huu wa sasa tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu.

Nakuasa, ishi ukijua kuwa, Mungu anakataza uasherati na uzinzi, utaishi maisha kama hayo hadi lini? kiburi hicho unakipata kuwa na michepuko kwasababu u mzima, unajua kama Mungu ndiye ameshikilia huo uzima wako unaoringia? unajua kuna watu wapo kitandani hata waletewe mwanamke hapa hawawezifanya chochote kwasababu wanaumwa ila wewe u mzima na unayafanya hayo? unafikiri Mungu hakuoni? unafikiri Mungu anapenda hayo ufanyayo? Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna, nakuombea kwa Mungu utambue hili, wapo watu sasaivi wanatamani wangepewa second chance kwa yale yaliyowakuta, ila ukurasa umefikia kikomo, mwogopeni Mungu.

Eeh Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo kwa Yesu Kristo Bwana wetu nisaidie, nikaishi maisha ya utauwa, maisha ya kukucha wewe Mungu kila siku, kila saa na kila dakika, kwasababu wewe ndiwe uzima wangu. Mungu nisaidie nikapate kuwa na kiasi (self-control), nikajilinde na mabaya, nisaidie Ee Mungu. Nisaidie nikakuogope wewe kuliko kuogopa magonjwa na kufumaniwa kwasababu wewe Mungu unaangalia moyo na haufuchwi na chochote na zaidi ya yote waasherati na wazinzi utawahukumia adhabu, niepushe na dhambi hizi Ee Bwana, wewe ndiwe uzima wangu, wewe ndiwe nguvu zangu, wewe ndiwe wokovu wangu, peke yangu mimi siwezi nahitaji msaada wako, na maisha yangu yapo mikononi mwako. Msaidie kila atakayesoma hapa Ee Bwana, Kwa Jina la Yesu Kristo, akatambue kwamba uasherati na uzinzi ni dhambi na wewe umeahidi kuwahukumu wote wayatendayo hayo, wewe umeweka njia ya uzima mbele yetu, tuifuate, wasaidie watu wako Bwana wakakuhofu wewe wakachague uzima badala ya mauti, kwasababu siku zote shetani huwawazia mabaya, hutamani awamalize, ila wewe Bwana ndiwe nguvu zetu, utukufu na heshima vina wewe milele na milele Ameni!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila wanandoa mna hekaheka sana
Sana tu. Na akija kusituka Mchepuko ushaziba nafasi. Wewe unadhani mambo yangekuwa poa huko ndani, nani angehangaika na PM zenu!
 
Cha kufurahisha huyo mchepuko nae ukimweka ndani Kwa muda nae utaanza kwenda kimoja tu, mazoea.
 
Mlianzaje na huyo waifu?

Mlikuwa mnaenda kimoja ivoivo toka mmeanza mahusiano au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…