Kwa mdada aliye Arusha, njoo PM tuyajenge

Kwa mdada aliye Arusha, njoo PM tuyajenge

Hapo sawa ile baridi ya hapo naimanya vere weli, unaweza kuganda mpk mwenyewe. 🤣🤣🤣
kumbe unaimanya vizur kabisa,,apa kuoga nilikua nawaza toka saa tatu nmekuja kuingia bafun saa nne na nusu😂😂😂😂
 
kumbe unaimanya vizur kabisa,,apa kuoga nilikua nawaza toka saa tatu nmekuja kuingia bafun saa nne na nusu😂😂😂😂
Huko ni kusafisha kwa papa mshkunda tyuu.!! Huko kwingine hapana kwakweli 😂😂😂
 
Huko ni kusafisha kwa papa mshkunda tyuu.!! Huko kwingine hapana kwakweli 😂😂😂
hapana aseeee,, unalala mwili mzito kama mtu kakulalia au gunia la viazi 😂😂🙌🏾
 
Pm niliacha kitambo kuchat, siipendi na nimeifunga.
umetuachia sie vilimbukeni,, ingawa nmefunga pia😂😂🙌🏾ila kuna mda nafungua kuchungulia kisha nafunga tena
 
Nipo njombe kihesa/kiliman 😂😂😂😂🙌🏾
Km kweli hapo kuoga ni uongo mahi wangu, huko hata maji ya kunywa mpk yale yaliyochemka na kutoa mvuke. Sasa Ikonda na makete ndo kabisa hata kunawa kipengele 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom