Kwa mdada aliye Arusha, njoo PM tuyajenge

Nyie niwakilisheni tu huko bar, mi nikigusa tu siku ya pili kama naumwa hv afu kama naskia Watu wanaimba pembeni yangu 🎢nyashi nyashi na nyasiioo buresio bulisio sumorio sumilioooo 🎢 nyaaaaaasi nyanshi
🀣🀣🀣 Mwenzio nikilewa nasikia β€œParapanda italia”
 
Hapo sawa ile baridi ya hapo naimanya vere weli, unaweza kuganda mpk mwenyewe. 🀣🀣🀣
kumbe unaimanya vizur kabisa,,apa kuoga nilikua nawaza toka saa tatu nmekuja kuingia bafun saa nne na nusuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kumbe unaimanya vizur kabisa,,apa kuoga nilikua nawaza toka saa tatu nmekuja kuingia bafun saa nne na nusuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huko ni kusafisha kwa papa mshkunda tyuu.!! Huko kwingine hapana kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huko ni kusafisha kwa papa mshkunda tyuu.!! Huko kwingine hapana kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hapana aseeee,, unalala mwili mzito kama mtu kakulalia au gunia la viazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Pm niliacha kitambo kuchat, siipendi na nimeifunga.
umetuachia sie vilimbukeni,, ingawa nmefunga piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎila kuna mda nafungua kuchungulia kisha nafunga tena
 
hapana aseeee,, unalala mwili mzito kama mtu kakulalia au gunia la viazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Basi ulipo kuna joto, ila baridi la Njombe kuoga wala sio kipaumbele chetu mwezi km huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi ulipo kuna joto, ila baridi la Njombe kuoga wala sio kipaumbele chetu mwezi km huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipo njombe kihesa/kiliman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Nipo njombe kihesa/kiliman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Km kweli hapo kuoga ni uongo mahi wangu, huko hata maji ya kunywa mpk yale yaliyochemka na kutoa mvuke. Sasa Ikonda na makete ndo kabisa hata kunawa kipengele 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…