- Thread starter
- #61
kuna mablangeti ya mchina huku yanauzwa elfu hamsini, ukijifunika baada ya lisaa utalitoa mwenyewe yana joto sijui ndani ya nini haya!Winga msaidieni kijana 😁wiki ilopita nlienda aisee Ile baridi Acha tu inapenya hadi Kwenye mifupa