kuna mablangeti ya mchina huku yanauzwa elfu hamsini, ukijifunika baada ya lisaa utalitoa mwenyewe yana joto sijui ndani ya nini haya!Winga msaidieni kijana 😁wiki ilopita nlienda aisee Ile baridi Acha tu inapenya hadi Kwenye mifupa
Mbona unacheka sasaasante baba,,😂
Avatar avatar hio avatar jamaniMbona unacheka sasa
hayatoi damuUnamaanisha nini?
Mm huko ni nyumbani kaka....sema nliondokaga Mda Mda hv ila round hii baridi nliyokuta ilikua hairuhusu hata ninywe maji Acha kuogakuna mablangeti ya mchina huku yanauzwa elfu hamsini, ukijifunika baada ya lisaa utalitoa mwenyewe yana joto sijui ndani ya nini haya!
Ntakupigia usihofu Namba yako nnayo ndio utajua nazalisha au nafanyaje ushawahi kubambiwa mpaka unaita majirani?swala dogo sana hiloz, ngoj nimalzane na uyu wa arusha then next season nitakuja,, ingawa sina uhakika kama unaweza kuzalisha wew
Ila yanawashwa na remote controlhayatoi damu
Ntumie picha yako iwe avatar & wallpaperAvatar avatar hio avatar jamani
hukuelezea kwa ufupi, sa mwingine atajua nafasi ya kazi kumbe unatafuta pisimengine yanabaki ya maongezi mkikutana
ukirud utayakuta kila anayenunua hana raha nayo, badala yakutoe barid ulale kwa raha yenyewe yakufanya unavuja jasho kama unasukuma guta!Mm huko ni nyumbani kaka....sema nliondokaga Mda Mda hv ila round hii baridi nliyokuta ilikua hairuhusu hata ninywe maji Acha kuoga
hua hawajisemi,, battery lowNtakupigia usihofu Namba yako nnayo ndio utajua nazalisha au nafanyaje ushawahi kubambiwa mpaka unaita majirani?
sitaki pisi kali, natafuta wa kuyajenga naye pisi nitazifata shivashukuelezea kwa ufupi, sa mwingine atajua nafasi ya kazi kumbe unatafuta pisi
ngoja nikidaunilodi beauty plus nitakutumiaNtumie picha yako iwe avatar & wallpaper
Hakikisha dimples na mwanya vionekane vizuri usiedit Sanangoja nikidaunilodi beauty plus nitakutumia
alimkaribishaje gheto hata kwao au ndugu zake hakuwafahamu, angemfia huyo walikutana tu muuzaji na mnunuzi, muuzaji akacheza vizuri!Kuna mwenzako dereva malori aliokota demu fb akajitapa sanaa siku kasafiri yule demu kama mchawi alisafisha kigheto chote hadi bulb alitoa ila hakuna aliyemuona akiondoka na mazaga watu wamekuja kustuka mlango unalia tu ng'weeeeeeeh
Ukishaingia chumba cha upasuaji ndio utaelewa unatumbuliwa jibu kwenye Mstari KATI lazima upige ukunga majirani hukuuuu nachanikaaa msambahua hawajisemi,, battery low