Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Eti aje pm khaaaa!! 🤣🤣🤣Heeeeh 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti aje pm khaaaa!! 🤣🤣🤣Heeeeh 😂😂😂
We si umekulia masaki hujui hizi mambo, tuliokulia Machame Mashariki tunajua mengi demu anakuja geto kapanda Toyo hapo mpaka muendane joto🤣mbaya zaidi kiganja Cha Mkono na mguu vina joto lake🤣🤣🤣 Basi mtakuwa na matatizo haiwezekani mwanamke awe wa baridi mpk mikono
🤣🤣🤣 Anazingua yy awe straight.😁😁 Usimkatishe tamaa
🤣🤣🤣 Ndioinaagizwa
abembeleze na anatoa pesa😂😂Eti aje pm khaaaa!! 🤣🤣🤣
Sasa k venga ya nn saizi badala upate upate kitu simple ukapoe kitandansasa nimelewa sijui kushoto ni wapi na kulia ni wapi,,subiri k vant ipoe
Nakuona na unapambania kweli kweli akuonyeshe nonino 🤣🤣🤣Mama mtumishi huyu binti ni mataifa najaribu kumweka karibu apate msaada wa kiroho
Alooo unajitahidi kutafuta pasi ufunge 🤣🤣🤣Nioneshe upande wa kushoto tu Kwa mashavu yote
ni story ndefu mkuuSasa k venga ya nn saizi badala upate upate kitu simple ukapoe kitandan
Sema anadai sema photogenic sura mpya miguu ya zamaniNakuona na unapambania kweli kweli akuonyeshe nonino 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Wifi nakuona kwenye kitengo chako pendwaProcess in progress 😂😂😂ila wifi upo kimaslahi wewe
Diara anacheza kipa na mbeleAlooo unajitahidi kutafuta pasi ufunge 🤣🤣🤣
JF imekuwa moto sana, wajuba baridi limewatandika wanaulizia mbunye kijanja.!! Kwani Arusha baridi linasoma nyuzi ngapi?? 🤣🤣🤣abembeleze na anatoa pesa😂😂
Unachokifanya kinafuta yaliyopita?ni story ndefu mkuu
Safari hii kweli umedhamiria winga 🤣🤣🤣Sema anadai sema photogenic sura mpya miguu ya zamani
Alooo!! 🤣🤣🤣Diara anacheza kipa na mbele
Nikifanya hvo 🤦 kwenye zile Amri kumi ntakua nimebakiza moja tu 'USIUE'Safari hii kweli umedhamiria winga 🤣🤣🤣
Ww hiyo usijali kikubwa upate blanket chapa mtu au sio??! 🤣
Mbona hata hiyo ushafanya 🤣🤣🤣Nikifanya hvo 🤦 kwenye zile Amri kumi ntakua nimebakiza moja tu 'USIUE'
Mm mbona kawaida yangu Ibra Bacca..... penaltyAlooo!! 🤣🤣🤣
Na hii ukikosa basi kaa utulie uvute mjani wa bob