Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Jiwe Linaloishi ivi wewe ndio yule alie waachia wenzake ujumbe anaenda kujiua au?
Ukijimaliza nami ntakufa, lol.
Madame B ,wakati nyie mkiwa kwenye white party,ambayo nilikuwa nimebakisha kiatu cheupe tu, nimalize mlipuko wangu, mi ntakuwa naripoti na wana Tanga..
"Much Love...."
kwikwikwikwiwkwi ntakusubiri pale njia panda ya kwenda mbinguni ili tuongozane
panda abood uwahi nakusubiri ubungo
Wakuu Asalim Alaikha, nimejiwa na swala la kuuliza kama je mbona hakuna update yoyote especiallya leo ambayo ndo siku yenye?! hatujapewa itinerary ya shuhuli nzima twajaje twakaribishwaje twatambulikaje pale panapo kuingilia nk nk? natumai sijakengeuka katika hili!
Sioni update zaidi ya hii!kwikwiwkwiw ni mimi mkuu ila nimeahirisha mpaka nitoke kwenye whitepatty kwanza ndio ntaangalia kama unatekelezeka...
Sioni update zaidi ya hii!
Tangu lini Ruttashobolwa amekuwa wako tena@Nipo wangu.
Sijasoma Madame B naomba usaidizi nilikuwa nje ya mtandao toka jana
Ahsante sana mkuu ubarikiwe kwa info hiiingia hapa utapata updates zote za shughuli ya leo
JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE
Nimeusoma ubarikiwe sana mkuu.Usijali Mulama,
Jiwe Linaloishi ameweka Link ya huo Uzi.
Kwa kuongezea ni kwamba Nimekutumia ID ambayo utaingilia nayo kule.
Au twende Pm,hapa wambea wengi.
Tangu lini Ruttashobolwa amekuwa wako tena@
Kutokushiriki kwangu CC kumbe kunanicost eeh?
mamisa karibu white party na usimsahau Miss Pirate
naona nilichelewa kuona hii habari ya party. itakuwa bomba inaelekea
umekosa mengi sana mpendwa...hii makitu sijui itakuja kuhappen lini tena aisee!!!
naona nilichelewa kuona hii habari ya party. itakuwa bomba inaelekea
Mbona ilisha fanyika Miss Pirate! Daaah kwa nini umekosa?
nakuoneeni donge. nimegee stori kidogo tukio lilikwenda vipi. siku ingine sikosi