Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Wakuu Asalim Alaikha, nimejiwa na swala la kuuliza kama je mbona hakuna update yoyote especiallya leo ambayo ndo siku yenye?! hatujapewa itinerary ya shuhuli nzima twajaje twakaribishwaje twatambulikaje pale panapo kuingilia nk nk? natumai sijakengeuka katika hili!
 
Mkuu husomi mabandiko yanayotolewaga hapa?
 
Sijasoma Madame B naomba usaidizi nilikuwa nje ya mtandao toka jana
 
nakuoneeni donge. nimegee stori kidogo tukio lilikwenda vipi. siku ingine sikosi

Shereh ilikua poa...tulikula na kunywa, zaidi tulitambulishana na kuzungumza mengi ya JF na yasiyo ya JF...
Stori zaidi nifuate PM...
 
Back
Top Bottom