Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Sijambo Paloma.... Ila nasikitika kutokuja WHITE PARTY thou ntakuwa Dar that day. Waratibu wamegoma kupokea mchango mlangoni. . . Haya nawatakienu kila lililo jema ntatafuta member ambaye hatakuwa kwenye party tupeane kampani!!!

sijakuelewa! wala naomba isiniulize why sijakuelewa! khaaaaaaa makubwa hayaa
 
Nakushukuru sana kwa taarifa, ila naomba kuongezea kwa njia ya swali, je hao ambao hawataki kutundikwa jamvini kama wamechangia, je kwenye party watakuja wamevaa hijab ili wasionekane?! nijuavyo lengo ni kufahamiana kutambuana na kisha ku test interaction za face to face kama tulivyozoea lakini kupitia jamvini. Hapa msingi si kula kunywa tu maana ingekuwa hivyo jumamosi ni siku ya viwanja bwerere kila mtu angechagua kiwanja chake cha kwenda, hatuendi viwanja vingine kwa sababu tunataka kukutana wanajf ili kujuana zaidi.

Wito wangu tafadhali tuchangie kwa wingi kabla ya tarehe hiyo iliyotajwa ili tuhudhulie ikiwezekana wote walio kwenye easy reach ya party inakofanyikia tuwepo siku hiyo, mimi mulama nina hamu sana kuwajua members wenzangu please!
 
Mulama sisi tunaheshimu privacy za watu.
Ila usijali maana kuna kipengele cha Kutambuana hvyo tutafahamiana tu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hao watakuwa ni wale jirani zetu wa sihasani...
 
Sijambo Paloma.... Ila nasikitika kutokuja WHITE PARTY thou ntakuwa Dar that day. Waratibu wamegoma kupokea mchango mlangoni. . . Haya nawatakienu kila lililo jema ntatafuta member ambaye hatakuwa kwenye party tupeane kampani!!!

tell daddy you kidding....
 
Last edited by a moderator:

mi ntakuja kwa id ya faizafoxy. Manake hii ya king'asti ninavyojidai mpole huku mtaani mkiivumbua mbona patachimbika? Afu na hazbend Paw atakuja na id ya kifimbo cheza, akijitaja msije mkamrukia magumi. Umerizika?
 
Yan kama ulikuwepo vile! nimeliziiika sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…