Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Sijambo Paloma.... Ila nasikitika kutokuja WHITE PARTY thou ntakuwa Dar that day. Waratibu wamegoma kupokea mchango mlangoni. . . Haya nawatakienu kila lililo jema ntatafuta member ambaye hatakuwa kwenye party tupeane kampani!!!

sijakuelewa! wala naomba isiniulize why sijakuelewa! khaaaaaaa makubwa hayaa
 
Habarini za Muda huu Memberz woote wa JF.
Nikiwa kama Mmoja wa waratibu wa Party yetu ukiachilia mbali Mtambuzi, gfsonwin na mratibu mpya Vin Diesel, napenda niseme yafuatayo ambayo nahisi yatatusaidia sana.

1. Kwanza Napenda Nitangaze kuwa Mwisho wa kupokea mchango wako ni tarehe 24 siku ya Alhamisi saa Tisa Mchana
hii inatokana na baadhi ya Maandalizi ikiwamo Ratiba ambazo itabidi tuzikamilishe walau kwa siku hzo Mbili,yaani;Ijumaa na siku yenyewe Jumamosi.

2. Kuna hili suala ambalo lilipendekezwa na baadhi ya Memberz via Pm kuwa Kama kuna uwezekano wa Member kuja kulipia Mchango Mlangoni siku hyo,kwani kuna wengine hawatapenda ID zao ziwekwe jukwaani,
kwa kweli tumelifikiria suala hilo na tumeona kuwa wale ambao hawataki ID zao ziwe jukwaani tumewaandika pembeni. Na Siku hiyo HATUTAPOKEA MCHANGO WA MEMBER YEYOTE MLANGONI,

Kwanini?
A) Bajeti yetu itakuwa iko kamili kwenye idadi ya watu katika vyakula na vinywaji,sasa wewe unaelipa mlangoni utavuruga waandaaji wa vyakula na vinywaji.

B) Sioni sababu ya wewe kulipa Mlangoni ilhali wote twajuana Jamvini,au una skendo?

C) Utatusababishia usumbufu katika mpango mzima wa Ukaaji,Utambulisho na Viji-game vya Ukumbini....lol...!!!

3. Kumbukeni PARTY INAANZA SAA KUMI NA MOJA JIONI Hivyo Basi isiwe saa kumi na moja ya Mswazi (kuja saa 2usiku) Mtatuudhi. Inabidi Muwahi mapema.

4. Kuna wale Memberz ambao watapenda kuja ila watafika siku hiyo ya Party na Mchango Mkononi,P'se kama unajijua Wasiliana na Ndg Mtambuzi au mie Madame B ili tuwape Maelekezo.

5. Jamani Hii ni Party yetu sote,Tufurahi, Tu-enjoy na Tutakiane Happy New Year,kila siku jamvini tuuu,leo Face to face.

6. Kutakuwa na Wageni Rasmi ambao ni Wahusika Muhimu wa JF (supriseeee....!!!)

7. Tunapenda Tuwatakie Maandalizi Mema,Michaguo mema ya Nguo,viatu,Makoti,Suruali,Pedo,Magauni na hata Vitupio.

KARIBUNI SANA 'WHITE PARTY' MEMBERZ WOOTE WA JAMII FORUMS,ila Ulipe Mchango

Tutazidi kufahamishana kila leo....

UPDATES:
a) Mpaka sasa Memberz waliotoa Michango na kuthibitisha Kuhudhuria ni 35.
1. KakaKiiza
2. Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Paloma
6. cacico
7. MJeda
8. Asprin
9. Ruttashobolwa
10. amu
11. marejesho
12. Vin Diesel
13. figganigga
14. Jiwe Linaloishi
15. Amavubi
16. manoah
17. Jeska
18. Zion Daughter
19. Mulama
20. viviana
21. watu8
22. Tonykp
23. Remmy
24. Mamndenyi
25. kipaji halisi
26-35 (hawakupenda majina yao yawe jamvini,ila wametoa michango na watakuwepo)
Nakushukuru sana kwa taarifa, ila naomba kuongezea kwa njia ya swali, je hao ambao hawataki kutundikwa jamvini kama wamechangia, je kwenye party watakuja wamevaa hijab ili wasionekane?! nijuavyo lengo ni kufahamiana kutambuana na kisha ku test interaction za face to face kama tulivyozoea lakini kupitia jamvini. Hapa msingi si kula kunywa tu maana ingekuwa hivyo jumamosi ni siku ya viwanja bwerere kila mtu angechagua kiwanja chake cha kwenda, hatuendi viwanja vingine kwa sababu tunataka kukutana wanajf ili kujuana zaidi.

Wito wangu tafadhali tuchangie kwa wingi kabla ya tarehe hiyo iliyotajwa ili tuhudhulie ikiwezekana wote walio kwenye easy reach ya party inakofanyikia tuwepo siku hiyo, mimi mulama nina hamu sana kuwajua members wenzangu please!
 
Mulama sisi tunaheshimu privacy za watu.
Ila usijali maana kuna kipengele cha Kutambuana hvyo tutafahamiana tu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Nakushukuru sana kwa taarifa, ila naomba kuongezea kwa njia ya swali, je hao ambao hawataki kutundikwa jamvini kama wamechangia, je kwenye party watakuja wamevaa hijab ili wasionekane?! nijuavyo lengo ni kufahamiana kutambuana na kisha ku test interaction za face to face kama tulivyozoea lakini kupitia jamvini. Hapa msingi si kula kunywa tu maana ingekuwa hivyo jumamosi ni siku ya viwanja bwerere kila mtu angechagua kiwanja chake cha kwenda, hatuendi viwanja vingine kwa sababu tunataka kukutana wanajf ili kujuana zaidi.Wito wangu tafadhali tuchangie kwa wingi kabla ya tarehe hiyo iliyotajwa ili tuhudhulie ikiwezekana wote walio kwenye easy reach ya party inakofanyikia tuwepo siku hiyo, mimi mulama nina hamu sana kuwajua members wenzangu please!
Hao watakuwa ni wale jirani zetu wa sihasani...
 
Sijambo Paloma.... Ila nasikitika kutokuja WHITE PARTY thou ntakuwa Dar that day. Waratibu wamegoma kupokea mchango mlangoni. . . Haya nawatakienu kila lililo jema ntatafuta member ambaye hatakuwa kwenye party tupeane kampani!!!

tell daddy you kidding....
 
Last edited by a moderator:
Nakushukuru sana kwa taarifa, ila naomba kuongezea kwa njia ya swali, je hao ambao hawataki kutundikwa jamvini kama wamechangia, je kwenye party watakuja wamevaa hijab ili wasionekane?! nijuavyo lengo ni kufahamiana kutambuana na kisha ku test interaction za face to face kama tulivyozoea lakini kupitia jamvini. Hapa msingi si kula kunywa tu maana ingekuwa hivyo jumamosi ni siku ya viwanja bwerere kila mtu angechagua kiwanja chake cha kwenda, hatuendi viwanja vingine kwa sababu tunataka kukutana wanajf ili kujuana zaidi.

mi ntakuja kwa id ya faizafoxy. Manake hii ya king'asti ninavyojidai mpole huku mtaani mkiivumbua mbona patachimbika? Afu na hazbend Paw atakuja na id ya kifimbo cheza, akijitaja msije mkamrukia magumi. Umerizika?
 
Yan kama ulikuwepo vile! nimeliziiika sana mkuu!
 
Back
Top Bottom