Rafiki wa kweli ni brief basiMnatutisha sasa..tutaogopa kwenda
oohoo!! Kama ulinzi unaohitajika ni huu, basi mke wangu marejesho inabidi abaki!
Lipo miongoni mwa 26-35!!
Simuogopi mtu isipokuwa natafuta timing ya kufanya counter attack. Kazi ya kumlinda mke wangu na binti yangu si nyepesi hata kidogo. Hii party inaonekana itakuwa na "masharp shooter" wengi sana.
Rafiki wa kweli ni brief basi[/QUOTE ]
bht yani ukija utakuwa umenipa zawadi ya mwaka. I real need your company and presence that day.plzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!
Rafiki wa kweli ni brief basi[/QUOTE bht yani ukija utakuwa umenipa zawadi ya mwaka. I real need your company and presence that day.plzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!
Ntakujaje na hukuniambia besti?
Hata sijui hiyo ni pati ya aje...ya weupe tu, ya kuvaa vyeupe au waje wasio mawaa...
Ntakujaje na hukuniambia besti?
Hata sijui hiyo ni pati ya aje...ya weupe tu, ya kuvaa vyeupe au waje wasio mawaa...
me too! mwahhh to u Mwita Maranya! mama robi alie tu siku hiyo!
hapo nlikua nazichanga ili nikamtumie mtambuzi. tarehe 26 ntawahi kinoumer!. miafigganigga yupo kibaruani anazchanga kwa ajili ya white party
cacico taratibu mama Rhobi asije akakusikia, akaamua kufua nguo zote siku hiyo hata zile "mupya na maaliumu" kwa white party!!me too! mwahhh to u Mwita Maranya! mama robi alie tu siku hiyo!
Ndio maana nakupenda.Familia kwanza mengine baadae
Copy to prof maji mafupi!
Jiwe Linaloishi mie nitakupeleka kwa dokta Dr. mmbwana kule tanga, ni rafiki yangu sana yule mzee usihofu. Alafu nataka umlipie shemeji yako mie siji
hahaha mbona umeahirisha ghafla umeogopa kugonganisha boda boda?? poa nipe id yake manake sikumbuki ni yupi si unajua wewe na mswati mnatofautiana nchi tu
nitakutumia namba yake , ila ID yake ni maarufu sana jukwaa la siasa
poa mkuu fanya hivyo mapema muda umetaradadiiii kesho mwisho wa kupeleka mchango, na ijumaa siku ya pilau....maulidi
tuombe tanesco wasijezima umeme yakaanza yale ya shemejiii shemejiii.....
Ukikosa jimalize