Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Rafiki wa kweli ni brief basi[/QUOTE bht yani ukija utakuwa umenipa zawadi ya mwaka. I real need your company and presence that day.plzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!

Ntakujaje na hukuniambia besti?
Hata sijui hiyo ni pati ya aje...ya weupe tu, ya kuvaa vyeupe au waje wasio mawaa...
 
Last edited by a moderator:
Ntakujaje na hukuniambia besti?
Hata sijui hiyo ni pati ya aje...ya weupe tu, ya kuvaa vyeupe au waje wasio mawaa...

Jamani samahani dearest sikukuambia..Lakn msema kweli mpenzi wa Mungu nilikuwa na wasiwasi kama unaweza pata ruhusa ya kuja.Lakn hata hivyo haujachelewa.Ni get tugeza tu ya wanajf kufurahi pamoja na kubadilishana mawazo maalumu kwa ajili ya kuukakaribisha mwaka mpya pia.Kama upo serious basi tumia namba za tigopesa au mpesa ulipe elfu 20 kwa Mtambuzi (Naamini bajeti haitaharibika)..Tena location ya event ni nzuri sana yani hapo Maeneo ya Bamaga I think..
 
Last edited by a moderator:
figganigga yupo kibaruani anazchanga kwa ajili ya white party
397473_10200307137379978_1998386688_a.jpg
hapo nlikua nazichanga ili nikamtumie mtambuzi. tarehe 26 ntawahi kinoumer!. mia
 
Last edited by a moderator:
nitakutumia namba yake , ila ID yake ni maarufu sana jukwaa la siasa

poa mkuu fanya hivyo mapema muda umetaradadiiii kesho mwisho wa kupeleka mchango, na ijumaa siku ya pilau....maulidi

tuombe tanesco wasijezima umeme yakaanza yale ya shemejiii shemejiii.....
 
nimekumbukaaa mshahara utakua umeingia ,

poa mkuu fanya hivyo mapema muda umetaradadiiii kesho mwisho wa kupeleka mchango, na ijumaa siku ya pilau....maulidi

tuombe tanesco wasijezima umeme yakaanza yale ya shemejiii shemejiii.....
 
Back
Top Bottom