Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

Poleeee...ila mwenzio wakati wa dance nikaishia kutoka zangu tu nje...maana nilijikuta sina wa kumsogeza karibu atiii...haya former Miss CC tutawakilisha next time tu!!!

Yaliyonipata nayajua mwenyewe, kweli mkamia maji hayanywi. Nimesikitika kuimiss pati.
 
IMG-20181118-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom