Kwa Memberz Wote. REF: Deadline ya Michango ya White Party.

jamani msaada wale wataalam wanaofukuza mvua naomba wanisaidie kufukuza hii safari ya arusha mpaka wiki ijayo ili nisikose whitepatty
manoah huko porini hujaona hata kalumanzila wa kunisaidia?
Paloma siku ile iuliniambia kuna babu unamjua ni mtaalam pls asisst
 
Jiwe Linaloishi mie nitakupeleka kwa dokta Dr. mmbwana kule tanga, ni rafiki yangu sana yule mzee usihofu. Alafu nataka umlipie shemeji yako mie siji
jamani msaada wale wataalam wanaofukuza mvua naomba wanisaidie kufukuza hii safari ya arusha mpaka wiki ijayo ili nisikose whitepatty
manoah huko porini hujaona hata kalumanzila wa kunisaidia?
Paloma siku ile iuliniambia kuna babu unamjua ni mtaalam pls asisst
 
Last edited by a moderator:
Copy to prof maji mafupi!

Sijambo Paloma.... Ila nasikitika kutokuja WHITE PARTY thou ntakuwa Dar that day. Waratibu wamegoma kupokea mchango mlangoni. . . Haya nawatakienu kila lililo jema ntatafuta member ambaye hatakuwa kwenye party tupeane kampani!!!
tuma ijumaa kwa m-pesa au fanya mipango na gfsonwin au Mtambuzi wasababishaji. mia
 
Last edited by a moderator:
figganigga yupo kibaruani anazchanga kwa ajili ya white party

397473_10200307137379978_1998386688_a.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom