Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Caf uchukue kwa timu ipi? Wachezaji tegemeo ni Kibu na KiyomboSimba hawana mpango wa kuichukua kombe la nbc.....malengo yao Ni caf champions league......haya makombe ya ndani wametuachia young africans
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Cafcl ipi mkuu??? Yaani Kwa skrikers kama Kibu D na kyombo ndo tuchukue cafcl... Hiiiii bhagoshaaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Simba hawana mpango wa kuichukua kombe la nbc.....malengo yao Ni caf champions league......haya makombe ya ndani wametuachia young africans
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kocha lazima ajue key players wake.. Sasa fundi wa mpira peter Banda anaanza benchi halafu Kibu D anaanza.. Sakho mchezaji mbinafsi anatakiwa aingie wakati timu tayari ishapata matokeo yeye anamchezesha Dak 90... Bladfakeni kabisaa...Taratibu tutaheshimiana tu, hakuna kocha hapo zaidi ya tumbo
Mimi nitamlaumu tu kwa tabia yake ya kumwacha Banda.Kocha laziwa ajue key players wake.. Sasa fundi wa mpira peter Banda anaanza benchi afu Kibu D anaanza.. Sakho mchezaji mbinafsi anatakiwa aingie wakati timu tayari ishapata matokeo yeye anamchezesha Dak 90... Bladfakeni kabisaa...
🤣🤣🤣🤣Taratibu tutaheshimiana tu, hakuna kocha hapo zaidi ya tumbo
Sawa tulishindwa kusajili wachezaji wazuri.. na je kocha mzuri nae tulishindwa?? Unaona Mgunda ataipeleka Simba semi cafcl??? Acha kutetea makosa ya uongozi.ACHA lawama za kitoto.
Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....
Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.
1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!!!!
Tumbo tumbo tu Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC hao.Mgunda ni BICHIKOMA linalotembea,,
Kocha hamna humo.
Caf uchukue kwa timu ipi? Wachezaji tegemeo ni Kibu na Kiyombo