Kwa Mgunda tumepigwa

Kwa Mgunda tumepigwa

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Uwezo wa huyu kocha wetu ni mdogo sana. Amepitia njia nyepesi sana kufika makundi cafcl.

Hajashinda mechi yoyote miongoni mwa mechi ngumu msimu huu. Anzia mechi ya KMC, Yanga, Azam na hii ya Singida big stars. Upangaji wake wa kikosi ni mbovu sana.

Anabebwa na uzawa tu na sio uwezo.
 
Simba hawana mpango wa kuichukua kombe la nbc.....malengo yao Ni caf champions league......haya makombe ya ndani wametuachia young africans

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Cafcl ipi mkuu??? Yaani Kwa skrikers kama Kibu D na kyombo ndo tuchukue cafcl... Hiiiii bhagoshaaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Taratibu tutaheshimiana tu, hakuna kocha hapo zaidi ya tumbo
Kocha lazima ajue key players wake.. Sasa fundi wa mpira peter Banda anaanza benchi halafu Kibu D anaanza.. Sakho mchezaji mbinafsi anatakiwa aingie wakati timu tayari ishapata matokeo yeye anamchezesha Dak 90... Bladfakeni kabisaa...
 
Kocha laziwa ajue key players wake.. Sasa fundi wa mpira peter Banda anaanza benchi afu Kibu D anaanza.. Sakho mchezaji mbinafsi anatakiwa aingie wakati timu tayari ishapata matokeo yeye anamchezesha Dak 90... Bladfakeni kabisaa...
Mimi nitamlaumu tu kwa tabia yake ya kumwacha Banda.

Kwa Sakho siwezi mlaumu maana mechi iliyopita alimuingiza sub zikiwa zimebaki dakika chache na akabalisha kasi ya mchezo.

Pengine ni udhaifu wa mwalimu kuwarekebisha wachezaji.

Hata hivyo Simba wanatakiwa kusajili sio akina kyombo,Kibu sijui Akpan.
 
ACHA lawama za kitoto.

Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....

Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.

1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!!!!
 
ACHA lawama za kitoto.

Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....

Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.

1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!!!!
Sawa tulishindwa kusajili wachezaji wazuri.. na je kocha mzuri nae tulishindwa?? Unaona Mgunda ataipeleka Simba semi cafcl??? Acha kutetea makosa ya uongozi.
 
Back
Top Bottom