Elections 2010 Kwa Mh Mengi na ITV (IPP MEDIA)

Elections 2010 Kwa Mh Mengi na ITV (IPP MEDIA)

Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia lakini kupata huo muda ni kama ndoto, lakini kwa hapo mwanzo ilikuwa ni vigumu, na kwa taarifa zisizo rasmi ilisemekana watu wa ITV walikataa kufanya Biashara na Chadema (niko tayari kurekebishwa)

Mengi wewe ni Mpiganaji wa kweli lakini bado sijajua kwa nini unakuwa Mguu ndani/nje na nachelea kusema haya yote yamefanyika ni kwa sababu ya ile njama ya mwanao iliyotaka kutokea pale JKN airport na ki ukweli hukupata support ya maana kutoka serikalini, na kwa kuanzia ulianza na Guardian na ile kashfa ya msg za kumchafua Dr Slaa

pamoja na hayo yote, mimi binafsi ninaona ni mipango ya Mungu tu, hata kama umelipwa kwa mdahalo wa leo lakini thamani ya hizo fedha haziwezi kabisa kulingana na idadi ya watu waliopokea huu ujumbe, nilikaa na kujiuliza hivi tangu siku ya mwanzo ungeamua kufanya hii kitu nadhani watanzania wote wangekuwa wako tayari kumkaribisha Mh Slaa Ikulu kwa ushindi wa kishindo na wala kampeni zisingekuwa ndefu, za gharama na za kuchosha,

ushauri wangu ni kuwa kwa hizo siku zilizobakia mnaweza kurudia huu mdahalo kwa hata siku mbili tu, say kesho Jpili na siku moja ya katikati ya wiki ili hata kwa wale waliokatiwa umeme na kwa wale ambao Mh Dr Slaa atashindwa kuwafikia basi nao wajue Slaa anataka kufanya MAbadiliko ya aina gani na kwa jinsi gani ataonyesha maisha bora kwa kila mTanzania kwa vitendo

Jamani CHADEMA wauweke Mdahalo huu kwenye DVD Watu tununue
 
weka vizuri! saa ngapi na kama ni ukweli ama ni kuturusha roho... wengine tusijeamkia hapo asbh kumbe...
tulikuwa na mkutano na Halima Mdee kule BOKO NATIONAL HOUSING,alitangaza kuwepo kwa mh dr Slaa viwanja vya Tanganyika packers kati ya saa 5 mpaka saa 7 mchana.....
sisi wakazi wa huku tulimuita aje aongee na sisi na tunamshukuru kulikuwa na mwamko mkubwa watu tumechangia hata pesa ya mawakala japo kidogo. ....sio tetesi tena kesho Kawe kumsikiliza tena dr Slaa,hachoshi hata akiongea masaa ma5 mtu hutoki...
 
Mkuu Kituko wewe ni kituko kweli kweli na Chadema damu damu,
 
tusisahau kumpongeza kikwete pia kwa kuonyesha udhaifu mkubwa uliofanya hata wananchi kumchoka na kuangalia njia mbadala za kufika the promised land

Mkuu kazi ya Mungu inafanyika kwa njia ambazo binadamu hawezi kuzitabili kirahis. Toka siku JK anaapisha niliwaambia watu kuwa mwisho wa CCM umefika. Kwa hiyo ni kitu ambacho watu wanaotumie lens zao vizuri kilikuwa wazi toka mapema

Sasa nashauri pamoja na kufanya mipango ta kurusha tena hiki kipindi pale ITV au na TV nyingine ambazo ziko tayari kushangilia ushindi wetu Oct 31, nashauri CHADEMA watengenze kanda za radio, VCD, DVD etc haraka sana kuhakikisha kuwa hadi J5 zimefika walau sehemu kubwa ya TZ ili watu wasio na TV pia wazisikie. Halafu zinaweza kutumiwa kwenye mikutano ya wk ijayo ya wagombea wote. Hili ni jambo la muhimu sana ili watu waamke 31 Oct na fresh memories za Rais wet mtarajiwa!
 
Nakubaliana sana na wazo la kurushwa mdahalo tena. Nawashauri CHADEMA kufuatilia swala hili kwani mdahalo ulikuwa wa kiwango cha hali juu sana.
 
Hata kama itabidi kulipia, mimi nashauri CHADEMA kama chama wajaribu kufuatilia gharama, nadhani wengi tutakuwa tayari hata kuchangia kutangazwa kwa marudio kwa kidogo tulichonacho, cha muhimu muda utangazwe ili watu wengi waweze kuangalia na tujulishwe tunachnagia vipi.

Mkuu hayo uliyoyaongea hapo juu ni sahihi LAKINI kumbuka most of TV stations sasa hivi wamekumbatia fisadiz CCM. Unaweza kutoa hiyo ofa kulipia vipindi lakini hizi TV stations hawako tayari kukubali mabadiliko.

Mengi naye kutoa huo mwanya nafikiri naye ameanza kuona kimbunga cha lala salama. You can't have both at the same time. Chagua moja, mabadiliko au status quo.
 
Mkuu Kituko wewe ni kituko kweli kweli na Chadema damu damu,

Kaka boma, Slaa anaongelea Watanzania kwa ujumla wao, anaongelea umaskini uliopindukia wa Watanzania wote bila kujali itikadi zao za Vyama, Kabila na Dini zao

Slaa anaongela ni kwa jinsi gani hii nchi inavyohujumiwa na watu wachache, Slaa anatuonyesha ni kwa jinsi gani watu wachache wanavyotumia madaraka vibaya bila kufata sheria na bila kuheshimu katiba (japo si nzuri)

Lakini kwa kiongozi Mzuri lazima utoe njia ya kuyatatua hayo, na ni lazima huyo mtu awe jasiri na mwenye kujitoa kwa faida ya Watu wote na Dr Slaa yupo tayari kwa hayo yote na kweli sisi tukimtazama usoni na kile anachokisema tunapata furaha na faraja kwamba sasa tumepata Kiongozi wa kweli,
kwa hiyo habari za kumchagua Slaa sio lazima mtu awe Mwana Chadema, Mtu mwenye akili timamu na mwenye kuona na kujua kinachoongelewa na Slaa ni lazima atampa kura tu
 
Thank GOD kwakutupa heavy duty support via ITV. CCM wanatuona wananchi ni mapumbavu nafurahi kuona ujumbe unaingia akili mwa wadau. mimi ni wakala wa CHADEMA hapa Dar, tumepikwa kisawasawa. haibi kura kima yeyote. Nitajaribu push kwa uongozi wa juu ili mdahalo urudiwe kama wadau mlivyo shauri, nakubaliana nanyi 100%.PEACE N LOVE 4 OUR BEAUTIFULL TZ.
 
Hivi sio ameuza air time?

Mkuu kumbuka mwanzoni ilisemekana Mengi hakuwa tayari kufanya biashara na chama chochote cha upinzani hata kwa bei gani. Tumshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea na kumfanya Mzee wangu Mengi kubadilisha msimamo. kama watu mlivyoshauri tunaomba mzee mengi ukubali kipindi kirudiwe kwani jmamosi watu huwa wanapilika nyingi zikiwemo harusi na mambo mengine hivyo naomba kirudiwe siku yoyote kati ya jumatatu hadi alhamisi kuanzia saa tatu usiku.
 
Mzee jina lako limeandikwa kwenye kumbukumbu ya madadiliko ya ukweli ya nchi hii.

Naomba tu kipindi hiki kirudiwe tena na tena hadi tarehe 31 oct 10

Mungu akubariki sana Mengi.
 
Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia lakini kupata huo muda ni kama ndoto, lakini kwa hapo mwanzo ilikuwa ni vigumu, na kwa taarifa zisizo rasmi ilisemekana watu wa ITV walikataa kufanya Biashara na Chadema (niko tayari kurekebishwa)

Mengi wewe ni Mpiganaji wa kweli lakini bado sijajua kwa nini unakuwa Mguu ndani/nje na nachelea kusema haya yote yamefanyika ni kwa sababu ya ile njama ya mwanao iliyotaka kutokea pale JKN airport na ki ukweli hukupata support ya maana kutoka serikalini, na kwa kuanzia ulianza na Guardian na ile kashfa ya msg za kumchafua Dr Slaa

pamoja na hayo yote, mimi binafsi ninaona ni mipango ya Mungu tu, hata kama umelipwa kwa mdahalo wa leo lakini thamani ya hizo fedha haziwezi kabisa kulingana na idadi ya watu waliopokea huu ujumbe, nilikaa na kujiuliza hivi tangu siku ya mwanzo ungeamua kufanya hii kitu nadhani watanzania wote wangekuwa wako tayari kumkaribisha Mh Slaa Ikulu kwa ushindi wa kishindo na wala kampeni zisingekuwa ndefu, za gharama na za kuchosha,

ushauri wangu ni kuwa kwa hizo siku zilizobakia mnaweza kurudia huu mdahalo kwa hata siku mbili tu, say kesho Jpili na siku moja ya katikati ya wiki ili hata kwa wale waliokatiwa umeme na kwa wale ambao Mh Dr Slaa atashindwa kuwafikia basi nao wajue Slaa anataka kufanya MAbadiliko ya aina gani na kwa jinsi gani ataonyesha maisha bora kwa kila mTanzania kwa vitendo

Hongera Reginald Mangi.

Ujasiri wako unadhihirisha ukweli kwamba enzi za udikteta na kutishana vimekoma.
 
Kaka boma, Slaa anaongelea Watanzania kwa ujumla wao, anaongelea umaskini uliopindukia wa Watanzania wote bila kujali itikadi zao za Vyama, Kabila na Dini zao

Slaa anaongela ni kwa jinsi gani hii nchi inavyohujumiwa na watu wachache, Slaa anatuonyesha ni kwa jinsi gani watu wachache wanavyotumia madaraka vibaya bila kufata sheria na bila kuheshimu katiba (japo si nzuri)

Lakini kwa kiongozi Mzuri lazima utoe njia ya kuyatatua hayo, na ni lazima huyo mtu awe jasiri na mwenye kujitoa kwa faida ya Watu wote na Dr Slaa yupo tayari kwa hayo yote na kweli sisi tukimtazama usoni na kile anachokisema tunapata furaha na faraja kwamba sasa tumepata Kiongozi wa kweli,
kwa hiyo habari za kumchagua Slaa sio lazima mtu awe Mwana Chadema, Mtu mwenye akili timamu na mwenye kuona na kujua kinachoongelewa na Slaa ni lazima atampa kura tu

Mkuu jana saa moja usiku hadi saa tatu usiku nimesikiliza ITV cha mdahalo na Dr Slaa. Alisema ameshangaa sana kuona nyumba ya tembe. kwa mtazamo wangu mtu mwenye hiyo nyumba hana ukuwezo kuwa kununua cement ili kujenga nyumba bora hata kama itapunguzwa hadi tshs 5,000.00. Nilikuwa makini kusilikiza akipata ridhaa ya Watanzania wengi atafanyaje ili huyu mwananchi aliye kijijini ndani kabisa aweze kupata uwezo wa kipesa na anunue cement pamoja na ku-afford milo mitatu. kwa mshangao hakusema lolote. Ndiyo maana nasema Chadema, CCM, CUF na vyama nyingine hawana uwezo wa kumkomboa mwananchi wa chini kabisa wa kwenye nyumba ya tembe
 
Kusema kweli kwa hili, hata mimi binafsi nimemkubali sana Mzee Reginald Mengi kwa hatimaye kukubali kusimama ahesabiwe.

Pia nachukua fursa hii, kumpongeza sana Mzee Mengi japo pia nasimama na dhana iliyokuwepo kule nyuma, Mzee sasa amebadiika, yaliyopita si ndwele... na ever forwad, backward never, mwelekeo sasa ni Magogoni, gari la Dr ndio linakunja kona Wizara ya Elimu!.
 
Hata kama itabidi kulipia, mimi nashauri CHADEMA kama chama wajaribu kufuatilia gharama, nadhani wengi tutakuwa tayari hata kuchangia kutangazwa kwa marudio kwa kidogo tulichonacho, cha muhimu muda utangazwe ili watu wengi waweze kuangalia na tujulishwe tunachnagia vipi.

Kama unataka kuchangia gharama hizi mbona milango iko wazi tu. Chadema walishatoa maelekezo yote ya namna na jinsi ya kuchangia kama vile kutuma pesa kwa SMS au benki (yaani direct deposit). Hivyo kama kweli una nia ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kampeni waweza kufanya hivyo mara moja. hapa hapa jamii forum information hizo zilimwaga ukumbini. Kule kwa wanabidii forum naona uchangiaji huu umepamba moto.
 
Mkuu jana saa moja usiku hadi saa tatu usiku nimesikiliza ITV cha mdahalo na Dr Slaa. Alisema ameshangaa sana kuona nyumba ya tembe. kwa mtazamo wangu mtu mwenye hiyo nyumba hana ukuwezo kuwa kununua cement ili kujenga nyumba bora hata kama itapunguzwa hadi tshs 5,000.00. Nilikuwa makini kusilikiza akipata ridhaa ya Watanzania wengi atafanyaje ili huyu mwananchi aliye kijijini ndani kabisa aweze kupata uwezo wa kipesa na anunue cement pamoja na ku-afford milo mitatu. kwa mshangao hakusema lolote. Ndiyo maana nasema Chadema, CCM, CUF na vyama nyingine hawana uwezo wa kumkomboa mwananchi wa chini kabisa wa kwenye nyumba ya tembe

Wewe ndugu Boma una hatari sana. Yaani kwako JK na Dr Slaa ni sawa kweli? Wote mafisadi, wote wasanii, wote cheka cheka hata kwenye mambo ya msingi, wote kichwani hamna kitu au? Kama chama chako kimezidiwa unaweza kuamua kukaa kimya?

Kwa kadri ya siasa zinavyoendeshwa, hakuna hata kiongozi mmoja na wa nchi yoyote ile duniani anayeweza kuwagawia pesa wananchi wake. Kiongozi makini anaweka mazingira mazuri ili walio wengi wafaidi raslimali za nchi yao. Ila hawezi kuwaondolea watu wote (100%) umasikini kwani hata nchi zilizoendelea zina masikini wanaoomba omba mitaani.
 
Back
Top Bottom