Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa Kesho yupo Kawe -Tanganyika packers
Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia lakini kupata huo muda ni kama ndoto, lakini kwa hapo mwanzo ilikuwa ni vigumu, na kwa taarifa zisizo rasmi ilisemekana watu wa ITV walikataa kufanya Biashara na Chadema (niko tayari kurekebishwa)
Mengi wewe ni Mpiganaji wa kweli lakini bado sijajua kwa nini unakuwa Mguu ndani/nje na nachelea kusema haya yote yamefanyika ni kwa sababu ya ile njama ya mwanao iliyotaka kutokea pale JKN airport na ki ukweli hukupata support ya maana kutoka serikalini, na kwa kuanzia ulianza na Guardian na ile kashfa ya msg za kumchafua Dr Slaa
pamoja na hayo yote, mimi binafsi ninaona ni mipango ya Mungu tu, hata kama umelipwa kwa mdahalo wa leo lakini thamani ya hizo fedha haziwezi kabisa kulingana na idadi ya watu waliopokea huu ujumbe, nilikaa na kujiuliza hivi tangu siku ya mwanzo ungeamua kufanya hii kitu nadhani watanzania wote wangekuwa wako tayari kumkaribisha Mh Slaa Ikulu kwa ushindi wa kishindo na wala kampeni zisingekuwa ndefu, za gharama na za kuchosha,
ushauri wangu ni kuwa kwa hizo siku zilizobakia mnaweza kurudia huu mdahalo kwa hata siku mbili tu, say kesho Jpili na siku moja ya katikati ya wiki ili hata kwa wale waliokatiwa umeme na kwa wale ambao Mh Dr Slaa atashindwa kuwafikia basi nao wajue Slaa anataka kufanya MAbadiliko ya aina gani na kwa jinsi gani ataonyesha maisha bora kwa kila mTanzania kwa vitendo
tulikuwa na mkutano na Halima Mdee kule BOKO NATIONAL HOUSING,alitangaza kuwepo kwa mh dr Slaa viwanja vya Tanganyika packers kati ya saa 5 mpaka saa 7 mchana.....weka vizuri! saa ngapi na kama ni ukweli ama ni kuturusha roho... wengine tusijeamkia hapo asbh kumbe...
tusisahau kumpongeza kikwete pia kwa kuonyesha udhaifu mkubwa uliofanya hata wananchi kumchoka na kuangalia njia mbadala za kufika the promised land
Hata kama itabidi kulipia, mimi nashauri CHADEMA kama chama wajaribu kufuatilia gharama, nadhani wengi tutakuwa tayari hata kuchangia kutangazwa kwa marudio kwa kidogo tulichonacho, cha muhimu muda utangazwe ili watu wengi waweze kuangalia na tujulishwe tunachnagia vipi.
Mkuu Kituko wewe ni kituko kweli kweli na Chadema damu damu,
Hivi sio ameuza air time?
weka vizuri! saa ngapi na kama ni ukweli ama ni kuturusha roho... wengine tusijeamkia hapo asbh kumbe...
Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia lakini kupata huo muda ni kama ndoto, lakini kwa hapo mwanzo ilikuwa ni vigumu, na kwa taarifa zisizo rasmi ilisemekana watu wa ITV walikataa kufanya Biashara na Chadema (niko tayari kurekebishwa)
Mengi wewe ni Mpiganaji wa kweli lakini bado sijajua kwa nini unakuwa Mguu ndani/nje na nachelea kusema haya yote yamefanyika ni kwa sababu ya ile njama ya mwanao iliyotaka kutokea pale JKN airport na ki ukweli hukupata support ya maana kutoka serikalini, na kwa kuanzia ulianza na Guardian na ile kashfa ya msg za kumchafua Dr Slaa
pamoja na hayo yote, mimi binafsi ninaona ni mipango ya Mungu tu, hata kama umelipwa kwa mdahalo wa leo lakini thamani ya hizo fedha haziwezi kabisa kulingana na idadi ya watu waliopokea huu ujumbe, nilikaa na kujiuliza hivi tangu siku ya mwanzo ungeamua kufanya hii kitu nadhani watanzania wote wangekuwa wako tayari kumkaribisha Mh Slaa Ikulu kwa ushindi wa kishindo na wala kampeni zisingekuwa ndefu, za gharama na za kuchosha,
ushauri wangu ni kuwa kwa hizo siku zilizobakia mnaweza kurudia huu mdahalo kwa hata siku mbili tu, say kesho Jpili na siku moja ya katikati ya wiki ili hata kwa wale waliokatiwa umeme na kwa wale ambao Mh Dr Slaa atashindwa kuwafikia basi nao wajue Slaa anataka kufanya MAbadiliko ya aina gani na kwa jinsi gani ataonyesha maisha bora kwa kila mTanzania kwa vitendo
Kaka boma, Slaa anaongelea Watanzania kwa ujumla wao, anaongelea umaskini uliopindukia wa Watanzania wote bila kujali itikadi zao za Vyama, Kabila na Dini zao
Slaa anaongela ni kwa jinsi gani hii nchi inavyohujumiwa na watu wachache, Slaa anatuonyesha ni kwa jinsi gani watu wachache wanavyotumia madaraka vibaya bila kufata sheria na bila kuheshimu katiba (japo si nzuri)
Lakini kwa kiongozi Mzuri lazima utoe njia ya kuyatatua hayo, na ni lazima huyo mtu awe jasiri na mwenye kujitoa kwa faida ya Watu wote na Dr Slaa yupo tayari kwa hayo yote na kweli sisi tukimtazama usoni na kile anachokisema tunapata furaha na faraja kwamba sasa tumepata Kiongozi wa kweli,
kwa hiyo habari za kumchagua Slaa sio lazima mtu awe Mwana Chadema, Mtu mwenye akili timamu na mwenye kuona na kujua kinachoongelewa na Slaa ni lazima atampa kura tu
Hata kama itabidi kulipia, mimi nashauri CHADEMA kama chama wajaribu kufuatilia gharama, nadhani wengi tutakuwa tayari hata kuchangia kutangazwa kwa marudio kwa kidogo tulichonacho, cha muhimu muda utangazwe ili watu wengi waweze kuangalia na tujulishwe tunachnagia vipi.
Mkuu jana saa moja usiku hadi saa tatu usiku nimesikiliza ITV cha mdahalo na Dr Slaa. Alisema ameshangaa sana kuona nyumba ya tembe. kwa mtazamo wangu mtu mwenye hiyo nyumba hana ukuwezo kuwa kununua cement ili kujenga nyumba bora hata kama itapunguzwa hadi tshs 5,000.00. Nilikuwa makini kusilikiza akipata ridhaa ya Watanzania wengi atafanyaje ili huyu mwananchi aliye kijijini ndani kabisa aweze kupata uwezo wa kipesa na anunue cement pamoja na ku-afford milo mitatu. kwa mshangao hakusema lolote. Ndiyo maana nasema Chadema, CCM, CUF na vyama nyingine hawana uwezo wa kumkomboa mwananchi wa chini kabisa wa kwenye nyumba ya tembe