Bora kubeti kuna kupata au kukosa lakini biashara ni kukosa tuBiashara ya awamu hii ni kama mchezo wa kubeti
Mimi nikienda bar lazima laki 3 ikatike, sasa umeelewa msingi wa hoja yangu?
[emoji1318]Nina miaka 18 kwenye biashara katika kipindi chote hicho,Nimepitia milima na mabonde.” Yani changamoto” Kitu ambacho ni cha kawaida kwenye biashara yoyote.
Lakini leo nakiri kwamba, Awamu hii imeuwa juhudi za watu wengi kufikia malengo yao kibiashara, Biashara zimeyumba kabisa, Mauzo yameshuka kwa asilimia zaidi ya 70, huku mitaji mingi ya wajasiria mali ikiteketea.
Kinachoogopesha zaidi, Sioni juhudi zozote za makusudi kuokoa hali hii mbaya. Jamaa zangu wengi wameshindwa kulipia school fees,Wengine wameshindwa kulipia mapango ya frem,Wengine ndoa zao zimevunjika na wengine wamepata stroku.
Lakini tukiwasikiliza viongozi wetu wanasema tupo pazuri. Najiuliza pazuri wapi?
Mwanzoni nilijua labda baba anafanyia nyumba usafi, Cha kushangaza tunamaliza miaka tano hali imekuwa tete zaidi ya tulipo toka.
Kuna hitajika jitihada za ziada kwenye uchumi wetu tena kwa speed kubwa la sivyo tutazalisha taifa la wamachinga na wapiga vibomu. Maana soon kodi za pango na serekali hazitalupika tena.
Natamani hii biashara yangu nimpe bure Dr mpango aiendeshe kwa miezi tu ili ajue hali halisi sio kukaa ofisini huku tukimlipa mshahara mnono bila kusaidia uchumi wetu.
Dr. Mpango mweleze rais hali mtaani ni mbaya,Watu tunapiga kazi asubuhi mpaka jioni lakini tunatoka kapa kila siku.
Halafu nimegundua ukiwa na hali mbaya mfukoni na majukumu ndio yanabisha hodi kwa kasi kweli kweli.
Hivi ilani ya chama ndio ilinadiwa kutekeleza hali iwe ngumu hivi? Tukutane mwakani october tuelezane kwa vitendo.
Duh peke yako au na wapambe?Mimi nikienda bar lazima laki 3 ikatike, sasa umeelewa msingi wa hoja yangu?
Mafuata (go and return) + entrance coupons + drinks & meals + lodge + malipo yake + vibomu vya hapa na paleDuh peke yako au na wapambe?
Ungetoa mfano wa hicho unachokisema!Inategemea na aina ya biashara sambamba na mazingira kibo 10,
Mbona biashara zinapeta tu? Na hakuna kipindi kizuri kufanya biashara ikakuripa km wakt huu..........badil mazingira au biashara
Kura usiache kupiga ila usiwapigie CCM maana ndio chanzo cha maisha yetu kuwa magumuKiukweli mwakani wala sihangaiki kwenda kupiga kura
Leo tena Serikali imetangaza kuzuia biashara ya vyuma chakavu mpaka itakapoleta utaratibu mpya. Huu msiba usikie kwa mwenzio tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikienda bar lazima laki 3 ikatike, sasa umeelewa msingi wa hoja yangu?
Hebu eleza vizuri kwanza!maisha halisi ya kuwa na hali mgumu hata Kwa mkulima aliyelima mahindi,mbaazi,korosho n.k nae alikuwa anaiiba?acheni kukariri Kwa kukubali. Et wanaolalamika wapiga dili!mkulima wa korosho ,mahindi ,mbaazi nao wapigadili?Mada za namna hii ndizo ambazo zinafikirisha na kuleta mijadala ya nguvu...lakini nikwambie kitu ndugu yangu ...hali ya sasa ndiyo hali halisi...kwa miaka mingi watanzania tulikuwa hatuishi maisha halisi....haya ndiyo maisha yenyewe kiuchumi...kwamiaka mingi tulikuwa tunaishi maisha ya wizi wizi...fedha chafu za rushwa bandarini...wizi wa mafuta yasiyolipiwa kodi..tenda za ujanja serikalini...maofisi mengi ya brief case...wizi fedha za umma...kutofanya kaziserikalini na kufanyia mikutano kwenye mahoteli baadala ya ofisini...wizi wa mali za umma...sasa serikali hii imejaribu kuziba mianya hiyo...hakuna tena fedha chafu au za dezo...yaani fedha za aina hiyo zimepungua mno..sasa tunaishi maisha halali...tunatakiwa tufannye kazi...baada ya miaka kumi hivi hali itatengemaa...labda...madalali poleni sana yaani madalali wa nyumba, mashamba na kadhalika...
Kipindi cha mkapa makusanyo yalikuwa hayazidi 400Bln.Hiyo ya kodi si hoja ni Sera za chuki na roho mbaya za awamu hiizilikua hazilipwi.tulikua tunapata bilioni 800 mpa trilioni
Kwa sasa ni trilioni na bilioni 300
Hivi wa monduli angekuwepo madarakani huenda upepo ungekuwa mwingine etHali hiyo tunaoitia wengi,usikate tamaa,Ni mapito,neema zaja,huoni wa Monduli karudi nyumbani,mambo yatalegea kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app