Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

NA BADOOOO ZILE LUPOOO ZINABANWA ZOTE NA ZAMUHII HAKUNA PUNGUZO ATI KISA UCHAGUZI TUNA DENI ZA AIRBUS.BOMBADIER LIPENI HAKUNA JINSI
 
Anaelalamika hali ya maisha kibiashara imekua mbaya ni mfanyabishara wa mda mrefu mabadiliko kibiashara anayajua anaepinga ni mcheza bao chaman anashindwa hata na mkewe anauza karanga ili familia pamoja na mumewe anaeshabikia ujinga kisa kila baada ya miaka mitano anarudi na kanga ya kijani na njano hakika tunapotea mana hata mataifa ya wengine wapo waliopiga kelele lkn awakusikilizwa kisa wenye maslahi ndo wameshika nchi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Very fun pale waajiriwa wanapokuwa matajiri kuliko mabosi!!!!! Huku wilayani ukienda ofisi za Halmashauri ndo kuna ndinga kali balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana kk ila uyu mkuu ndyo kaona njia ya kuongeza pesa serikalini ni kuuwa black market kitu ambacho ndyo kilikuwa kinainua pato la mtu mmoja mmoja ngoja tuone yajayo ila sioni afadhali yoyote kwenye maisha ya mbeleni ya utawala wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Magu anaingia ndio nimeanza biashara ninayoifanya nilikuwa na kafremu kamoja. Sasa hivi nimechukua fremu nne, nimejenga nyumba moja, ya pili namalizia, nimenunua gari ya pili January. December nimeenda vacation wiki moja Dubai. Labda inawezekana ingekuwa awamu iliopita ningepata mafanikio zaidi ya hayo.
 
Sasa mbona mnajazana sana bar?! Hali kwenye mabar huwa haiakisi hali ngumu ya uchumi tuliyonayo.
Huwa mnaongea kama kasuku tu watu wakikutana siku 1 au 2 kunywa inakuwa sababu mboja mnajazana kwenye mabaa.hakuna tatizo mimi naamini hata nyie mnaotetea hii hali muda unakuja tutaongea lugha moja.kila mmoja ataathirika kwa namna moja au nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…