tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,568
- 3,610
MKIWA MASKINI NI RAHISI KUWATAWALA.Utaitwa wakala wa "Mabeberu"
TAIFA LA WAJINGA+ MASKINI+WAOGA NI RAHISI SANA KUWAGEUZA UNAVYOTAKA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKIWA MASKINI NI RAHISI KUWATAWALA.Utaitwa wakala wa "Mabeberu"
NA BADOOOO ZILE LUPOOO ZINABANWA ZOTE NA ZAMUHII HAKUNA PUNGUZO ATI KISA UCHAGUZI TUNA DENI ZA AIRBUS.BOMBADIER LIPENI HAKUNA JINSINina miaka 18 kwenye biashara katika kipindi chote hicho,Nimepitia milima na mabonde.” Yani changamoto” Kitu ambacho ni cha kawaida kwenye biashara yoyote.
Lakini leo nakiri kwamba, Awamu hii imeuwa juhudi za watu wengi kufikia malengo yao kibiashara, Biashara zimeyumba kabisa, Mauzo yameshuka kwa asilimia zaidi ya 70, huku mitaji mingi ya wajasiria mali ikiteketea.
Kinachoogopesha zaidi, Sioni juhudi zozote za makusudi kuokoa hali hii mbaya. Jamaa zangu wengi wameshindwa kulipia school fees,Wengine wameshindwa kulipia mapango ya frem,Wengine ndoa zao zimevunjika na wengine wamepata stroku.
Lakini tukiwasikiliza viongozi wetu wanasema tupo pazuri. Najiuliza pazuri wapi?
Mwanzoni nilijua labda baba anafanyia nyumba usafi, Cha kushangaza tunamaliza miaka tano hali imekuwa tete zaidi ya tulipo toka.
Kuna hitajika jitihada za ziada kwenye uchumi wetu tena kwa speed kubwa la sivyo tutazalisha taifa la wamachinga na wapiga vibomu. Maana soon kodi za pango na serekali hazitalupika tena.
Natamani hii biashara yangu nimpe bure Dr mpango aiendeshe kwa miezi tu ili ajue hali halisi sio kukaa ofisini huku tukimlipa mshahara mnono bila kusaidia uchumi wetu.
Dr. Mpango mweleze rais hali mtaani ni mbaya,Watu tunapiga kazi asubuhi mpaka jioni lakini tunatoka kapa kila siku.
Halafu nimegundua ukiwa na hali mbaya mfukoni na majukumu ndio yanabisha hodi kwa kasi kweli kweli.
Hivi ilani ya chama ndio ilinadiwa kutekeleza hali iwe ngumu hivi? Tukutane mwakani october tuelezane kwa vitendo.
Very fun pale waajiriwa wanapokuwa matajiri kuliko mabosi!!!!! Huku wilayani ukienda ofisi za Halmashauri ndo kuna ndinga kali balaa!Nina miaka 18 kwenye biashara katika kipindi chote hicho,Nimepitia milima na mabonde.” Yani changamoto” Kitu ambacho ni cha kawaida kwenye biashara yoyote.
Lakini leo nakiri kwamba, Awamu hii imeuwa juhudi za watu wengi kufikia malengo yao kibiashara, Biashara zimeyumba kabisa, Mauzo yameshuka kwa asilimia zaidi ya 70, huku mitaji mingi ya wajasiria mali ikiteketea.
Kinachoogopesha zaidi, Sioni juhudi zozote za makusudi kuokoa hali hii mbaya. Jamaa zangu wengi wameshindwa kulipia school fees,Wengine wameshindwa kulipia mapango ya frem,Wengine ndoa zao zimevunjika na wengine wamepata stroku.
Lakini tukiwasikiliza viongozi wetu wanasema tupo pazuri. Najiuliza pazuri wapi?
Mwanzoni nilijua labda baba anafanyia nyumba usafi, Cha kushangaza tunamaliza miaka tano hali imekuwa tete zaidi ya tulipo toka.
Kuna hitajika jitihada za ziada kwenye uchumi wetu tena kwa speed kubwa la sivyo tutazalisha taifa la wamachinga na wapiga vibomu. Maana soon kodi za pango na serekali hazitalupika tena.
Natamani hii biashara yangu nimpe bure Dr mpango aiendeshe kwa miezi tu ili ajue hali halisi sio kukaa ofisini huku tukimlipa mshahara mnono bila kusaidia uchumi wetu.
Dr. Mpango mweleze rais hali mtaani ni mbaya,Watu tunapiga kazi asubuhi mpaka jioni lakini tunatoka kapa kila siku.
Halafu nimegundua ukiwa na hali mbaya mfukoni na majukumu ndio yanabisha hodi kwa kasi kweli kweli.
Hivi ilani ya chama ndio ilinadiwa kutekeleza hali iwe ngumu hivi? Tukutane mwakani october tuelezane kwa vitendo.
Every economy runs in two parallel sets that support each other. Black (covert) market or njia za panya and legitimate (open) market. If you kill a black market, legitimate market must suffer. Thats why in countries like Mexico they have not been able to completely abolish drugs trade which operate on black market because that is an 'economy' that support the livelihood of many people. More than probably what the govt could employ.
Magufuli's policy to clean the country has largely killed the black (covert) market and that could be the reason why an economy has suffered an after shock. The economy must now be walking with one leg instead of 'its traditional' two legs!
In order for the economy to rebound, the govt should probably relax it crack down effort, unjail all people who are in prison for charges related to business malpractice, channel more of its next budget on social programs and infrastructural- labor intensive projects etcs to catalyse some economic activities...
More over, a govt must inject more money in creating reliable markets for agricultural products and more inputs for farmers to increase agricultural outputs.
Govt should also provide tax reliefs (rebates) for private (small) companies that will create at least ten new jobs and re hire new workers that their roles will not be related on filling vacancies. These should really be new jobs.
Govt should also provide a 3yrs break for HESLB loan collections at 15%, instead it should reduce the rate to 5%.
This will increase disposable income for graduates who would ultimately spend more. Hence more revenues for businesses and ultimately more taxes for gvt which would ultimately be able it to refinance new students loans...
NB: for every 100,000 Tsh an employeespendsearns, nearly 40,000 of it goes back onto govt coffers. That will be in terms of income tax, import duties, VAT and other fees and collections. So if the aggregate annual disposable income of graduates increases by Tsh 100 B as a result of Heslb's freezing of its 15% collections, ultimately the govt must be able to gain 40B as result of this while an aggregate annual (real/ after tax) expenditure will increase by 60B as result of this single govt action.
A marginal aggregate annual expenditure of these graduates valued at 60B means an additional annual revenue/income of 60 B to businesses. This action and other similar actions will help kulainisha vyuma by a margin that will be valued at 60B per annum.
Take 60B and spread to 1,000,000 traders for example, that amounts to an additional annual revenue/income of 60,000Tsh per trader! Who would also spend and create a tertiary income for others in the value chain etc...
That's a ripple effect of a single govt decision and this is how economics works.
Acha kuongea kishabiki bana mbna watu waajabu sana kwaiyo biashara ya kuigana ndyo maana watu hawanunui bidhaa ivi ata unaelimu ya form four Ile ya kuondoa ujinga kweli
Wakati Magu anaingia ndio nimeanza biashara ninayoifanya nilikuwa na kafremu kamoja. Sasa hivi nimechukua fremu nne, nimejenga nyumba moja, ya pili namalizia, nimenunua gari ya pili January. December nimeenda vacation wiki moja Dubai. Labda inawezekana ingekuwa awamu iliopita ningepata mafanikio zaidi ya hayo.Wakati anaingia madarakani nilikua vizur kiuchimi maduka mawili. Na. Wafanyaka kazi wake, na nyumba lakini niulize now nimebaki na kaduka kadogo kamoja lingine nishafunga mda sana fukuza madogo waliokuwa wananisaidia kuyaendesha nipo pekee yangu, nyumba imeuzwa maana nikipoona nyumba nilikopa pesa bank. Yenyewe mbaya ya access nilipo susua kurejesha nikajipiga kwa ndugu na jamaa hawakunisaidia nikamshawishi my wife tuiuze nyumba yetu kabla access bank hawajaja kutufirusi tukakosa vyote... Basi akanielewa ikabodi tuuze ndo kulipa madeni ya bank. Ada za watoto, tukatafuta kiwanja. Tukapata tunaanza kujenga nyumba ipo kweny linta pesa imekata mpka sasa tumepanga. Nyaani huyu Magu mungu anamuona kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo Gari ndio utajiriVery fun pale waajiriwa wanapokuwa matajiri kuliko mabosi!!!!! Huku wilayani ukienda ofisi za Halmashauri ndo kuna ndinga kali balaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa mnaongea kama kasuku tu watu wakikutana siku 1 au 2 kunywa inakuwa sababu mboja mnajazana kwenye mabaa.hakuna tatizo mimi naamini hata nyie mnaotetea hii hali muda unakuja tutaongea lugha moja.kila mmoja ataathirika kwa namna moja au nyingine.Sasa mbona mnajazana sana bar?! Hali kwenye mabar huwa haiakisi hali ngumu ya uchumi tuliyonayo.
Kasema ndinga kali. Ukiwa na 2017 Land Cruiser V8 unaweza kuwa masikini? Masikini utumie 300m kununua gari? Kuna gari kuwa na uwezo wa kuinunua lazima uwe tajiri achana na viusafiri vyetu akina sisi.
Inauma sana yani.
Ndugu yangu pole sana ni rahisi sana kusimulia lkn ukitulia inauma sana.
Najaribu kuvaa kiatu chako lkn kimegoma kunitosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu kwanini upitie mabondeni na milimani.? ina maana huko mjini kwenu hakuna barabara.?
Miaka 18 kwenye biashara umezeeka ,huwezi mbinu mpya waachie vijana..
Ni ngumu sana kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili kabisa yani wewe mfano wa mtu kuwa tajiri ni kuwa na ndinga kali.hopeless kabisaVery fun pale waajiriwa wanapokuwa matajiri kuliko mabosi!!!!! Huku wilayani ukienda ofisi za Halmashauri ndo kuna ndinga kali balaa!
Sent using Jamii Forums mobile app