Kwa miaka 20, sijaongezeka uzito hata kilo moja wala sijazeeka

Ni sahihi kiongozi, ila wakati mwingine unaweza ona kama unadharaulika hivi, (japo ni hisia tu, najua). Binafsi huwa ninamshukuru Mungu kwa yote.

Kwenye kupata mke, usiende kwa macho haya ya nyama na damu. Muombe Mungu sana akupe mtakaeendana. Umbile la nje lisikubabaishe.


Jesus is Savior
 
Ingawa wanasema black dont crack. But sio kwa kila DNa. Nadhani kuna type ya watu wako hivyo...hawazeeki haraka. Sijajua kama ni baraka za Muumba wao au la au DNA zao. Mama yangu akiwa kwenye 50+ rafiki yangu alikuwa anazani ni Dada yangu. Ilihali kanizidi kama 25+years. Mzee juzi akiwa na 78+ndo nimeanza kuona mvi kwa mbali.
 
Kumbe aisee
 
Ahaa kabisa mkuu sasa hapo ujue anayeteseka ni mkeo sio wewe anahisi labda amezeeka na anahofu uta chepuka
 
Kabisa ,director alizingua
 
Sasa huu uzi bila picha unakua na ukakasi kidogo.

Inabidi watu tuone tujiridhishe kwamba kweli bado unamuonekano wa kijana mbichi.

Unaweza kuwa uko mkavu vilevile lakini uzee haujifichi. Kumbuka muonekano wakizee hauonyeshwi Kwa mvi pekee.
Kuna binti kamaliza form six mwaka huu .aliomba nimsaidie kujaza vyuo mtandaoni,niseme tu ananiita mpenzi wake hana hata wasiwasi na tunapiga story kama washikaji,huku moyoni naona ninachofanya sio
 
Kuwa muangalifu na kipengele DELICIOUS....
 
Kuna binti kamaliza form six mwaka huu .aliomba nimsaidie kujaza vyuo mtandaoni,niseme tu ananiita mpenzi wake hana hata wasiwasi na tunapiga story kama washikaji,huku moyoni naona ninachofanya sio

Nakuelewa, huo mfano unakosa uzito Kwa sababu mkishaanza hayo mambo heshima haipo Tena. Hata ukiwa Mzee atakuita beby, unaona sasa?

Pia muonekano wa kizee unategemea na vile unavyojiweka na kuendesha mambo yako, kama akili yako bado inakwambia haujazeeka, kuanzia mavazi, mazungumzo, marafiki na mipango utaipeleka kama chalii wakati jua linazama.

Si unaona unahangaika na kabinti kanakohitaji ukasaidie kujiunga na chuo unakatafuna, hauoni kwamba umegoma kuzeeka?
 
Soma uzi vizuri,sijamtongoza ila yeye ndio kajitongozesha,ofcoz mimi sio mzee ila sitakiwi kuonekana kama kijana aliyetoka chuo mwaka jana
 
Soma uzi vizuri,sijamtongoza ila yeye ndio kajitongozesha,ofcoz mimi sio mzee ila sitakiwi kuonekana kama kijana aliyetoka chuo mwaka jana

Nimesoma vizuri bandiko hatua Kwa hatua, mtu akikwambia jirushe barabarani utajirusha kisa umeambiwa?

Yeye kama anakuona junkie wakati wewe unajua sio kijana si uthibitishe utu uzima wako?

Binti kama anakuona kama mwana chuo au ndio umehitimu chuo ni wajibu wako kuonyesha kwamba makadirio yake hayapo sahihi.
 
Sio kwa binti tu kila sehemu naonekana hivyo.kazini,majirani,nk sina jinsi nimeshazoea tu
 
UMEDUMAA wewe kama si mpare basi ni msambaa au mkinga.
 
Hahahahaha umeshakufa kijana wangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani wee unajionaje mzima ama uko kuzimu? Tuanze na wewe kwanza
 
Swali jingine katika utafiti kwa bwana Mdukuzii JE? Ukisalimiana na watu wengine kwa kupeana mikono mara nyingi unasikia mikono yao ni ya moto au ya baridi??

Tujaziejazie nadharia hapa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…