johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Miaka hiyo 20 iliwahusu pia Mkapa na Kikwete, usisahau hilo!Unasahau kuwa chama cha mapinduzi,kimejaa ubaguzi,majungu,na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate,kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa ccm anasema basi kafanya kazi nzurii
Tuanze na Moshi bwashee.Hakuna KITU kinachoshindikana tz ya viwanda..,wasizisahau chato,na kongwa nazo znafaa kuwa majiji...[emoji848][emoji848]
CCM kuna laanaUnasahau kuwa chama cha mapinduzi,kimejaa ubaguzi,majungu,na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate,kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa ccm anasema basi kafanya kazi nzurii
Kwani Kibaha ina maendeleo kuizidi Moshi?Morogoro, Singida, Shinyanga, Kibaha nazo zimekuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 20? stupid
Kwanini isiwe na maendeleo na wakati ipo chini ya CCM miaka yote na inaconnection?Kwani Kibaha ina maendeleo kuizidi Moshi?
Mmetuchelewesha sana.subirini kidogoKwani Kibaha ina maendeleo kuizidi Moshi?
Kwani Moshi ni maskini kwa sababu Chadema wengi wako huko?Kwanini isiwe na maendeleo na wakati ipo chini ya CCM miaka yote na inaconnection?
Wewe utakuwa mpuuzi, umesema imeshindwa kuwa jiji sababu ilikuwa chini ya CHADEMA na CHADEMA ndiyo inaleta umaskini, kwanini mikoa ambayo ipo chini ya CCM isiwe majiji na kuwa tajiri sasa sababu CCM ni baba wa maendeleo?Kwani Moshi ni maskini kwa sababu Chadema wengi wako huko?
Kwahiyo unakubali kwamba Chadema ni baba wa umaskini.Wewe utakuwa mpuuzi, umesema imeshindwa kuwa jiji sababu ilikuwa chini ya CHADEMA na CHADEMA ndiyo inaleta umaskini, kwanini mikoa ambayo ipo chini ya CCM isiwe majiji na kuwa tajiri sasa sababu CCM ni baba wa maendeleo?
Ila ninachoshukuru kwa sasa, wanakulana nyama wao kwa wao, yule mbaguzi akikuchukia tu anasema hukuchaguliwa na wananchi.Unasahau kuwa chama cha mapinduzi,kimejaa ubaguzi,majungu,na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate,kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa ccm anasema basi kafanya kazi nzurii
Kwahiyo population ya Ilala ni zaidi ya Temeke au Kinondoni?Kuwa city ni jambo la population sio kujisemea tu
Kwa kuwa hakuna maendeleo ikiwa mji/eneo liko chini ya ccm.Kwanini isiwe na maendeleo na wakati ipo chini ya CCM miaka yote na inaconnection?