Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

Rubbish reaction..........the python spews what has swallowed........after your true colour had been uncovered , the pinch itches deep down the skin with expurging confusion that takes you to mental psychosis case because all the required symptoms you have conscipicously displayed such hallucination, delusions, depression, anxiety, disorder concetration, suspiciousness, etc. So, to be precise immediately seek for medical treatment avoid from committing sucide.

'Mould the Brain'
 
Utakufa mdomo wazi kwa chuki zako we nguchiro
 
Tanzania ina umri wa mwembe dodo wa Tabora chini ya CCM lakini iko hoi bila ya muelekeo! Mji wa Moshi ni mdogo sana hakuna wakazi, hauwezi kuufananisha na Tabora au Mbeya ambako wakazi wamejenga mjini. Bahati mbaya haujawahi kufika Moshi zaidi ya Lumumba, ungefika Moshi ungejua ni pub tu, wakisha injoyi hao wanasepa. Mji wa Moshi ni mji msafi sana kuliko nyumbani kwako! Hata hivyo ujue na Mara nyingi umesikia sauti ya mkusanya kodi mkuu akisema hatatia pesa ya maendeleo kwenye wabunge wapinzani! Ulitaka madiwani wa Moshi wafanye nini wakati hawakusanyi kodo wao.
 
Labda useme akili za wizi na ubadhirifu lakini sio USOMI na WELEDI (Intellectuality and Professionalism), hasa wewe huna hizo sifa kazi maneno mengi ya mipasho ukaa.

Nationalism is very better than tribalism that you are diligently attempting to promote without breakthrough

...Nobody adores your ancestral descendence....
....Pouring boiled water in an anthill in whcih a poisonous snake hide waiting to bite a passerby cause its stampede as you did........you have missed out the game and you have defined how inferior you are to manouevre around teh battle field. You are therefore failure of teh century representing your pumpkin......I scroll a dot
 
Sasa nyie wenye miaka 60 kwenye utawala si mtujazie hizo karatasi za JIJI.
Mbona unawashwa sana na chadema bibie. Ukilala chadema ukiamka Mbowe.
 
Wacha hizo. Halima Mdee jaffna nini Kawe panebaki na rindi la u asking muda wote mahajamani kumfagilia tubdulussu au kushambulia maaskari Segerea. Kaja mwana Kawe Askofu barabara zinapitika sasa na walalahoi wa Mabwepande sasa wanaona shule. Kwa Sugu hivohivo. If you want a public office, you must deliver. It does not matter how competent you say you are, 2hat matters ni mafuga matatu: NILETEENI GWAJIMA! NILETEENI GWAJIMA! NILETEENI GWAJIMA. Wapiga kura walimwelewa.
 
Heeeee sijasikia hii.....kumbe tunaongozwa na sigara kali inawaka mbele na nyuma
 
Usichanganye lugha ewe kilema wa utamaduni wako. Amua kuandika kwa lugha moja utaeleweka Kiingereza, Kiswahili, Kifaransa, Kiebrania nk sio kupachika maneno ya kihuni ya kutoka ghetoni huko kwenye kubeba box. NAKAZIA una ubongo wako mfu na uko njiani kutundika nguo zote kichwani. Usipambane na upepo wa kisulisuli utanyooka tu. Na kadri unavyozidi kutapika uchafu wako hapa ndivyo unavyothibitisha kwenye jukwaa wewe ndiye unakwaza kwa maana kile unachokijibu hakibebwi na sili ya changamoto uliyopewa.

Amua kutumia lugha moja ili ulingo uende sawia usijifanye kughani ung'eng'e wa kuokota kwenye magenge ya kiharifu halafu unafokea akili tasnifu. Umebugi
 
Unagaliwe kwa jicho la huruma? Kwani wanapandisha hadhi majiji kwa huruma au kwa vigezo. Acha muitwe Wanyonge
 
Mkuu mbona huzitetei halmashauri zisizopanda daraja "Liwale, Ileje, Biharamulo na....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…