Kwa miaka 4 iliyopita sijaona beki wa kati kama Rio Ferdinand

Kwa miaka 4 iliyopita sijaona beki wa kati kama Rio Ferdinand

[QUOTE="bologna, post: 26546866, member: 101762" Unamzungumzia huyu Ferdinand aliyeburuzwa na Mchezaji Ricardo Kaka kama mtoto mechi Ac Milan na Manchester United old Trafford hadi wanapandiana mgongoni na mwenzie kama vichaa.[/QUOTE]
Huenda tv yako ilikuwa na makengeza kati ya gabriel heinz na evra wote ilikuwa inawaonesha wakina ferdinand punguza wivu unaponda hadi unaongea uongo
 
Kweli sergio Ramos...au sijaelewa unazungumzia nini,David luis umewahi kumuona akiwa form mpaka alipovunja record ya kuwa beki mwenye dhamani kubwa duniani J.T je
 
Hadi Yesu anarudi hatatokea beki wa kati kama Alessandro Nesta. Ronaldo de lima, Ronaldinho, Messi, Cr7 hao wote hawakuwahi kumpita huyo jamaa. Unamzungumzia huyu Ferdinand aliyeburuzwa na Mchezaji Ricardo Kaka kama mtoto mechi Ac Milan na Manchester United old Trafford hadi wanapandiana mgongoni na mwenzie kama vichaa. Tafuta clip uangalie Nabii Gaucho anampiga kanzu Nesta then Nesta anaivua kanzu kwa kisigino, wakati huo Gattuso anapigwa vyenga anatambaa kama mtoto. Dinho anapiga goli dk ya 88 anawapiga chenga Khaka Kaladze na Nesta inaitwa Back and away ( Mpira unachapwa kofi upande wa kulia alafu unaamia upande wa kushoto huku Nesta na Kaladze wakiamini mpira ule Nabii Dinho anaingia nao upande wa kushoto. Mtukufu Ronaldinho anaupiga kwa shuti la mguu wa kushoto huku kipa Dida akishindwa kuufata mpira ule. Mm mwenyewe Juve damu ila ile Milan ilikua balaa jamani. Ukuta ulijengwa na Paul Maldini, Nesta,Kaladze, Cafu, Jaap Stam,
Kweli jamaa yangu ww unajua mpira mkuu, [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kweli sergio Ramos...au sijaelewa unazungumzia nini,David luis umewahi kumuona akiwa form mpaka alipovunja record ya kuwa beki mwenye dhamani kubwa duniani J.T je
Mimi sijazungumzia beki anayetumia nguvu bila akili kama Sergio Ramos. Nazungumzia beki halisi wa kati mwenye kipaji na matumizi makubwa ya akili, wallau kuna mkuu mmoja hapo juu kamtaja Nesta na Maldini.
 
Alikuwa mzuri ila sio the best, na mwisho wake ulikuwa mbaya alikuwa anatoa maboko mno. Namkubali Gerald Pique na Puyol, combi yao ilikuwa tamu sana hawatumii nguvu wanatumia akili
Kudos japo kuwa ni Madrid fan
 
Mimi sijazungumzia beki anayetumia nguvu bila akili kama Sergio Ramos. Nazungumzia beki halisi wa kati mwenye kipaji na matumizi makubwa ya akili, wallau kuna mkuu mmoja hapo juu kamtaja Nesta na Maldini.
Huwezi kutaja beki visiki dunia hii kwa muongo huu ukamuacha ramos hata kama huipendi real madrid,kuna mchezaji gani ambaye amefikia kuichezea real madrid ambaye hatumii akili au unatania
 
Umeongea mengi sana na nimekufananisha na muimba taarabu.

Ni lini Rio alipigwa chenga hiyo na kaka?
Au Rio Ferdinand wa huko kwenu Kibaigwa?
Hata kama Rio hakupigwa hiyo chenga, ila unakosea heshima ya soka kumpa vyeo vyote hivyo Rio Ferdinand wakati alikua wakawaida sana. Kiufupi ww ni Shabiki wa Man u. Hivyo umeshindwa kutazama ligi nyingine alafu uweze kujua Rio unamweka nafasi gani. Rio alikua ni beki ila hakua kisiki. Tusiwapotoshe vijana wapya jamani.
 
Beki wa kulia namkubali sana Dan Alves, Elclassico CR7 alikuwa hapenyi
 
aisee unatuzingua bana. Sasa kama Rio beki bora Nesta atakuwa nani? Puyol? Canavarro? Stam? Maldini?
 
Beki wa kulia namkubali sana Dan Alves, Elclassico CR7 alikuwa hapenyi
alves mpangie walcot..hapandi,nakumbuka eboue alimtoa pumu,arsenal wakasawazisha goli mbili
 
Rio huyu huyu waliotengeneza combination ya ukuta wa pazia akiwa na Vidic?
 
Back
Top Bottom