Kwa miaka 4 iliyopita sijaona beki wa kati kama Rio Ferdinand

Kwa miaka 4 iliyopita sijaona beki wa kati kama Rio Ferdinand

Alikimbizwa na Bale aliposhindwa akaamua kucheka watu wakatia mpira nyavuni!!!
 
Moja mtoa mada hujui mpira
mbili hata timu yake man u tu hakuwa beki bora
tatu hamuwezi John Terry
Nne beki bora tangu ligi kuu ianze ni Mr Arsenal
tano humuangalii John Stones mumkabe saba habutui
 
Back
Top Bottom