4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
Una akil fupLazima tukope kumaliza miradi, wakati JPM anaanzisha mamiradi ya matrilioni tulichekelea bila kujua tutailipiaje, hii ndio njia ya kuilipia sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akil fupLazima tukope kumaliza miradi, wakati JPM anaanzisha mamiradi ya matrilioni tulichekelea bila kujua tutailipiaje, hii ndio njia ya kuilipia sasa
Unaendeshwa na ushabik sanaMakunduchi Gang aka Wahuni Gang wanakuletea Mikopo.
Wivu tu hao. Mama chapa kaxi endelea kuimarisha mahusiano na ulaya watupe MIKOPO achana nao wasiojua uongozi akina Kiroboto.
Bulembo Nape Mwendo mdundooo
Tatizo unaandika kama una uelewa kumbe zero tu!!Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka.
Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni Trillioni 82, kwa maana kwamba kwa miezi 9 mama amekopa Trilioni 10.
Tukienda kwa kasi hii ya mikopo, miaka 4 ijayo mama atakopa Trillioni zaidi ya 50 na kufanya deni la Taifa kufikia Trilioni 120 ama zaidi mwaka 2025.
Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana. Mama hataki kuangalia vyanzo vipya vya kodi, yeye anakimbilia the easy way out, kukopa, kukopa na kukopa.
Hii nchi miaka 60 ya uhuru tunakopa kujenga madarasa, kujenga vyoo kweli? Hata hilo la ujenzi wa vyoo vya shule tunahitaji kukopa? Tukope kufanya vitu vya msingi.
Kuna watu wasema mama ameleta uwazi wa matumizi ya mikopo sio kama Magufuli, naomba tuulizane, kwenye hizo Trillioni 10, tumetangaziwa matumizi ama mgawanyo Trillioni ngapi? Si hizi 1.5 za covid tu za ujenzi wa madarasa? Nyingine 8.5 tunajua zimetumika wapi?
View attachment 2063295
Wewe ni fala mkubwa na taahira wa mwaka 2021, na utaanza utavuka mwaka ujao na utaahira wako.Wewe taahira unalinganisha Japan na Tanzania? Hivi una akili timamu kweli?
Rudi shule usihoji vitu ambavyo havipoMkuu tunaongelea mikopo ya 36T na 10T katika kipindi cha miaka 5 na kile cha miezi 10. Ni vema tukajua fedha hizo zilitumikaje ili tujue nani kakopa kwa tija na nani katuingiza mkenge.
Wewe ni layaman ficha bichwa lako hujui hata tofauti ya grants,soft loans,assistance ..stick kwenye history zako.Wewe huna akili, grant inakuaje tena mkopo? Hivi unaelewa unachokiandika?
Wewe hizo details za kwamba 36T ni commercial terms na hizo 10T ni concessions loan umezitoa wapi kama huwezi kutofautisha kati ya grant na loan?
Rudi shule acha kudandia dandia mada.
Wewe akili huna, kutoku-service mkopo ndio kukopa kwenyewe, maana yake badala ya kulipa mkopo ukatumia hiyo hela kwenye mambo mengine, ndio kukopa kwenyewe, wachumi wanaita opportunity cost.Tatizo unaandika kama una uelewa kumbe zero tu!!
Unadhani kila deni linapoongezeka ni kwamba mtu amekopa ????
Nani kakuambia magu alikopa 36 Tr. ? Umesoma wapi hizo taarifa?
Mikopo inariba, na deni likiiva linaanza kuongezeka kasi sababu ya riba kwahio ongezeko hilo linaweza sababishwa na riba ya mikopo iliyopita.
Hata tusipokopa kabisa sahizi tukizembea ku service madeni basi deni la taifa litakuwa tuu au kama tulichukua mikopo kichaa ya kibiashara ikiiva lazima tukome kwakuwa ina riba kubwa
Wewe ndezi toka lini grants am msaada kwa kiswahili ikajumlishwa kwenye deni la taifa?Wewe ni layaman ficha bichwa lako hujui hata tofauti ya grants,soft loans,assistance ..stick kwenye history zako.
Hizo nchi za Kiafrika mnalingana nazo kiuchumi? Hivi hata darasa la kwanza ulienda kweli?Wewe ni fala mkubwa na taahira wa mwaka 2021, na utaanza utavuka mwaka ujao na utaahira wako.
Hiyo orodha umeiona Japan tuu? Pumbavu hapo kuna Nchi za Kiafrika za kutosha tuu..
Hata ningelinganisha na Japan kwani kuna shida gani? Mi layman mna matope mengi kichwani,stick kwenye fani yako uchumi tuachie wenye fani.g
Nimekwambia hivi wewe ni layman was Economics na mambo ya fedha hujui kitu,grants,loan and assistance hujui sifa za hizo .Wewe ndezi toka lini grants am msaada kwa kiswahili ikajumlishwa kwenye deni la taifa?
Unadhani zilizaliwa zikawa kama zilivyo? Wewe ni mburula wa Uchumi..Ghana for instance ina madeni makubwa kwa Kukopa kujenga miundombinu and in 2010s it was behind Tanzania but leo hii iko mbele baada ya investment.Hizo nchi za Kiafrika mnalingana nazo kiuchumi? Hivi hata darasa la kwanza ulienda kweli?
Kwa taarifa Kukopa ndio njia rahisi ya infrastructure financing inayokubalika kiuchumi,Njia nyingine zote ni costful na hazina uhakika .Ndio kusema wachumi wamekosa namna ya kumsaidia Rais njia nyingine za kupata fedha zaidi ya kukopa??
Hivi wasomi wote hao wa uchumi toka tupate Uhuru wamechangia nini kwa Taifa letu??
Ukimsikiliza Mh. Ndugai unagundua hoja si mkopo tu bali anauliza zile tozo mbona na zenyewe zimepelekwa huko huko ila haisemwi ni madarasa yapi? Kisha kuna swala la 2025 hapo tumia akili yako alikuwa anamaanisha nini.....Kukopa kuna utaratibu wake na timing, ndo maana wakopaji wengi hujikuta wameishiwa bila kutarajia na kuhisi hiyo pesa haijafanya jambo la maana. Ndo maana ukiendesha nchi ukiwa na kipaumbele sana cha kukopa utaleta majanga makubwa kwa viongozi watakaokuja. Huwezi kukopa trilioni 1.3 ukajenge madarasa na vituo vya afya ambavyo vinakuwa budgeted kwenye matumizi ya maendeleo na huna huo uhitaji kwa kiwango hicho. Bora hata ingetupwa kwenye reli, barabara au stiglaz.......jambo jingine ni kama kuna double allocation, tozo zimeenda kujenga madarasa na vituo vya afya, mkopo wa covid nao umepelekwa kujenga madarasa na vituo vya afya, hili jambo linaingiaje akilini.
Pole sana. Ukweli hata kama ni mchungu inabidi uupokee tu. Mama yako ameshakopa zaidi ya trillion 10 mpaka sasa.Uongo Mtupu,Mama fedha alizokopa ni zile T1.3 ambazo matumizi yake tumeyaona.Rais aliekopa kuliko Marais wote ni Jiwe na hilo liko wazi.
Jpm ndo alitegeneza njia ya kukopa asinge anzisha hiyo miradi ya kutafutia kura na umarufu kwake, tusinge kua hapa tulipo Mama hana jinsi lzma akope amalizie hiyo miradi ya bila upembuzi ya kinifu ya mwenda zake,.....tunaomba CCM mkituletea Raisi mgine mtuletee mtu mwenye kujua na kuelewa political economy, sio kama akina JPM.Nadhani kama tunakopa na kumalizia miradi aliyoianzisha hayati JPM ya kimkakati ispokuwa ya chato tuu. Hakuna shida lakini hili la kukopa na kujenga madarasa halina mantiki.
Wewe utakuwa unaishi Sweden sio Tzn,,eti huna uhitaji? Pole Sana ,sio tu Kukopa kujenga madarasa bali huwa kuna Kukopa na kulipia deni la nyuma.Kukopa kuna utaratibu wake na timing, ndo maana wakopaji wengi hujikuta wameishiwa bila kutarajia na kuhisi hiyo pesa haijafanya jambo la maana. Ndo maana ukiendesha nchi ukiwa na kipaumbele sana cha kukopa utaleta majanga makubwa kwa viongozi watakaokuja. Huwezi kukopa trilioni 1.3 ukajenge madarasa na vituo vya afya ambavyo vinakuwa budgeted kwenye matumizi ya maendeleo na huna huo uhitaji kwa kiwango hicho. Bora hata ingetupwa kwenye reli, barabara au stiglaz.......jambo jingine ni kama kuna double allocation, tozo zimeenda kujenga madarasa na vituo vya afya, mkopo wa covid nao umepelekwa kujenga madarasa na vituo vya afya, hili jambo linaingiaje akilini.