Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha.

Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta inaanzia underground mpaka gorofani.

Ukiangalia jiji la dar es salaam upande wa kariakoo ujenzi ulivyoshika kasi kwenye majengo ya biashara kwa miaka ya mbeleni fremu zitakuwa nyingi sana na hapo ndio litakapo kuja unafanya biashara gani sasa.
 
Back
Top Bottom