Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Finyanga udongo
Choma majani
Pepo naudongo
Samaki,nyama,mboga majani ohoo ndegeee
Simba wa binadamu
Jua maji
Mwezi nyota
Tumsifuu Mungu baba
Hata mara mojaa kwa jumaa
Hata ni wa shetani jua hii nalijua
Sijui nini sijui niini
Nadina hoo nadina ohioo
 
Finyanga udongo
Choma majani
Pepo naudongo
Simba wa binadamu
Jua maji
Mwezi nyota
Tumsifuu Mungu baba
Hata mara mojaa kwa jumaa
Hata ni wa shetani jua hii nalijua
Sijui nini sijui niini
Nadina hoo nadina ohioo
Dada fundi sana yule
 
Four elements of nature
AIR/WIND- upepo
WATER -maji
EARTH - Udongo
FIRE- moto

Moto hakuutaja ila ndio unaochoma majani. Pia ametaja Jua na nyota ni Nuru au mwanga wa dunia.
 
Jua ni moto
Tena ni mwangaza ya dunia
Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na udongo
Ni uzima wa binadamu

Nadina yooo Nadina yoyo
Nadina yooo Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma

Samaki nyama,
Majani vidudu au dege
Ni uzima wa binadamu
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki

Nadina yo Nadina mama
Rudisha mwili na roho nyuma mama
Mimi fasi niko hoi inagonga
Yee yee oh Nadina yee yee
Unipe mapenzi yako yote ye yee
Yee yee oh Nadina yee yee

Oh Nadina bibi ee
Nadina yo Nadina mama
Rudisha mwili na roho nyuma mama
Mimi fasi niko hoi inagonga
Yee yee oh Nadina yee yee
Unipe mapenzi yako yote ye yee
Yee yee oh Nadina yee yee
Oh Nadina bibi ee
 
Huu wimbo wakati enzi hizo tukiwa ushagoo vile hatujui maneno yake kiusahihi, tukawa tunaimba kwa tafsiri yetu kwenye chorus...

"Wakati wa mahindi tulikula kabunguja, tumsifu Mungu babab oooh hata mara moja...."

**"kabunguja" ni aina ya bisi za mahindi ambazo tulikuwa tunazichoma kwa kutumia kitanuru kidogo cha udongo kama sand castle hivi...
 
Na huo wimbo huwa haunogi bila huu kuwepo chini yake😅😅😅
 
Finyanga udongo
Choma majani
Pepo naudongo
Samaki,nyama,mboga majani ohoo ndegeee
Simba wa binadamu
Jua maji
Mwezi nyota
Tumsifuu Mungu baba
Hata mara mojaa kwa jumaa
Hata ni wa shetani jua hii nalijua
Sijui nini sijui niini
Nadina hoo nadina ohioo
Hata uwe ni WA shetaniii jua yulee alikuumbaa.
 
Jua ni moto
Tena ni mwangaza ya dunia
Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na udongo
Ni uzima wa binadamu

Nadina yooo Nadina yoyo
Nadina yooo Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma

Samaki nyama,
Majani vidudu au dege
Ni uzima wa binadamu
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki

Nadina yooo Nadina yoyo
Nadina yooo Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu lalikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma

Samaki nyama,
Majani vidudu au dege
Ni uzima wa binadamu
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki

Nadina yo Nadina mama
Rudisha mwili na roho nyuma mama
Mimi fasi niko hoi inagonga
Yee yee oh Nadina yee yee
Unipe mapenzi yako yote ye yee
Yee yee oh Nadina yee yee

Oh Nadina bibi ee
Nadina yo Nadina mama
Rudisha mwili na roho nyuma mama
Mimi fasi niko hoi inagonga
Yee yee oh Nadina yee yee
Unipe mapenzi yako yote ye yee
Yee yee oh Nadina yee yee
Oh Nadina bibi ee
Mimi fasi iko hoi inagonga
Eti tuliimba hivi
Nimekasirika roho inagonga
 
Bila shaka hii ndio tafsiri sahihi
 
Back
Top Bottom