Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

Bila shaka hii ndio tafsiri sahihi
Yes, huo ni wimbo wa kusifu uumbaji wa Mungu na kutukumbusha tumrudie muumba wetu haijalishi tumefanya dhambi ngapi yeye ni mwenye huruma na mwenye kusamehe,

Wakongo wanachanganya swahili na lingala basi mseto wake hapo lazima umeze panadol
 
Back
Top Bottom