Kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2015 mali nyingi za Chadema yetu zimepotea. Tuunde tume kuchunguza zilipo mali zetu zikiwemo Ford Ranger za M4C

Nilitegemea utahoji chama kuitwa chama cha demokrasia ilihali mwenyekiti ashabandua kipengele kinachoruhusu demokrasia ndani ya chama. Kuhusu mali zilizopotea nafikiri mleta mada ashaziorodhesha kwenye thread ili kuirahisishia tume itakayoundwa kuchunguza ufisadi ijue wapi pa kuanzia. Japo hilo ni gumu kuwezekana kwa vile alietafuna fedha ndio huyo aliekiweka chama mfukoni kwake.
Nitajie hizo Mali zilizopotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…