Kwa miaka zaidi ya mia moja mahakama imekuwa ni chombo huru. Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imesisitiza

Kwa miaka zaidi ya mia moja mahakama imekuwa ni chombo huru. Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imesisitiza

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mtu yoyote awe Rais au nani hawezi kuishinikiza mahakama kufanya maamuzi kwa matakwa yake.

Mahakama inapofanya maamuzi inatakiwa kuzingatia katiba ya JMT na sheria za nchi.

Presha na ngojera hazimshurutishi Jaji au hakimu kutoa maamuzi.
 
Na juzi president Samia katamka tumemfutia kesi zote Mr.Lissu!na hana ugomvi naye,mtoa hoja umejaa uongo na unafiki mkubwa na sitoshangaa kuwa umelelewa kwenye familia inayoamini uongo na unafiki, Mh Mbowe yup jela wewe endelea kufurahia maisha na family yako.
 
Hiyo ibara bahati mbaya ipo kwenye karatasi ya katiba, na sio mahakamani penyewe.
 
Back
Top Bottom