Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Hiyo baba si uzi hiyo ni inanipa heshima sana mkuu, tena ni dizel

Nmetokea kuzipenda sana
This is my next car.huwa nkipishana na mazda lazima niahushe kioo kwanza kutoa heshima🫡[emoji91]

Kuna moja naifukuzia beforwad ishuke bei ifike $3000
IMG_0999.png
 
Hongera mkuu kwa kuamuaa kupata usafiri. Jf imebeba ngano na magugu kwa pamoja, kuna watu kazi yao ni kuponda wengine na wanajifanya wanapesa wao, wanajua kila kitu wao, wana magari ya garama wao. Pengine hata bodaboda hawana.
Mkuu gari ya gharama nafuu kuliko zote ni passo na hata running cost yake ndogo sana. Nimetumia hii gari miaka toka 2017 hadi leo nlianza kama kujaribu sababu nlikuwa na safari nyingi sana na huwa sipendi public transport, ya kwanza niliiuza na 160k km, nikabahatisha mpya kwa 6.7mil ndo natumia hadi leo and every week natembea almost 700km. Ninayo miaka toka 2019 na bado pamba nyepesi
 
Kwa pesa hiyo unapata Brefenga lililonyooka sana tu. Kazi kwako.
 
Aisee gari za misele za bei hiyo zipo nyingi tuu.. Unachotakiwa ni kujua wapi utazipata..!
Kuna watu gari wanauza wamekosa sehemu ya kupaki.. Wengine wamekosa muda wa kuziendesha.. Ila gari ni nzima misele unapiga na heshima unapata..!
Kutokujua kusikufanye useme Hakuna..!
Noma sana mkuu ,,imenihamasisha hii comment yako
 
Mkuu cheki na vitz zile model ya zamani unapata kwa hela hiyo lakini pia mafuta hakata kusumbua.

Kwa hela hiyo unaweza kupata pia mark ii grande, verosa ila hizi uwe na bajeti nzuri ya mafuta au huna mizunguko mingi kwa siku.
Cool kka huyu kasema
 
Kuielewa huu ushauri wa jamaa lazima uwe na akili kubwa, yaani kipato cha laki nane unataka ununue gari, tena kwa milioni 4?? Vijana mna tabu sana aisee
kwa hiyo laki 8 hawezi mudu gari??
 
Back
Top Bottom